magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Shortcut jiambukize UKIMWI halafu uone "UWEZO WA MWILI WENYEWE KUPANDISHA KINGA.".Kumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..
Unafahamu kwamba ARV’s haziongezi kinga ya mwili wala kuua virusi vya Ukimwi? Unajua kwamba mwili unauwezo wa kupandisha kinga zake yenyewe? Unajua nini mwili kinahitaji ili kupandisha kinga ya mwili? Nikwambie?
Usisahau kuleta mrejesho.