USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Kumbe akili unazo, sawa. Tuendelee..

Unafahamu kwamba ARV’s haziongezi kinga ya mwili wala kuua virusi vya Ukimwi? Unajua kwamba mwili unauwezo wa kupandisha kinga zake yenyewe? Unajua nini mwili kinahitaji ili kupandisha kinga ya mwili? Nikwambie?
Shortcut jiambukize UKIMWI halafu uone "UWEZO WA MWILI WENYEWE KUPANDISHA KINGA.".

Usisahau kuleta mrejesho.
 
Hakutakuwa na ArVs za bure tena huko mbele ya safari

Kuna hatari maambukizi mapya ya HIV kushamiri miongoni mwa Watanzania

Hii itapelekea Serikali kutumia gharama kubwa kuyanunua hayo madawa, otherwise tutarajie ule Ukimwi aliouimba Ferouz kwenye nyimbo ya "Starehe" kurudi tena Mtaani
Kina haja ya kuachana na biashara ya kula vya nje, hatari inayokuja ni kubwa.
 
ndo shida ya sisi maskini, tukizoea misaada, tunaona ni haki yetu kusaidiwa,...
Kikwete alisema wazungu wanatoa mahela ya bure ni kujitahidi kuyachota tu.Naamini saa hizi anatuandalia neno la kujizatiti na dhahma ijayo ya kukosa mahela ya bure.Hata hivyo,huwa tunawadharau sana USA na kuwaita ni mashoga.Ni muda muafaka tujikite kubanana na China na Urusi.
 
Hapo namuona mama akikacha kikako cha Africa Energy Summit na kukwea pipa kesho pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa mataifa ya Africa wakielekea Washington DC kwenda kumsujudia Trump.
 
Back
Top Bottom