Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Hivi kama una namba ya NIDA tu, na huna kitambulisho, kwenye kukaguliwa vyeti hawawezi kukusumbua?
hawataki namba ya nida au softcopy ID... kama huna ID original kachukue barua ya utambulisho serikali ya mtaa wako
 
Kwakweli mimi sio muongeaji sana, ni aina ya watu ambao hua wanachoka na kupoteza umakini wanapohojiwa kwa zaidi ya dakika 15. Nondo nnazo ila pumzi inakata mapema naaza kujibu ovyo😄. Kikubwa saiv nafuga zangu mbuzi katoliki 🐖. hawa hawahitaji wapiga domo ni chakula, maji, dawa usafi bhaaasi! Waajiri wanataka wachonga ngenga na sio wachapa kazi.
 
😂😂😂😂😂For sure introvert inakuaga shida sana lazima unaona kero kujibizana
 
Yote ni maisha bro ..na maisha ni kuchagua .. don't give up ujui ya kesho ukidondoka au ukiteleza INUKA endelea na safari ..tunajifunza kutokanA na makosa ndio life [emoji123][emoji123][emoji123] ONE DAY yes itakuwa yako
 
Na changamoto ni kwamba mode of assessing candidates ni moja kwa wote, so inawa favor extroverts kuliko introverts, wanakosa watu very talented kwasababu ya style moja ya interview.
 
Mr.@mzizi1 embu tupe experience ya usahili wako wa ukufunzi wa chuo mpka kupita ...itatusaidia vijana wenzako tulio na ndoto za kuwa wakufunzi wa vyuo kama tutabahatika
 
Ni kweli mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hili swala umelikazania kaka
Hahahahaa.

Nisamehe sana, nimekosa mimi, nimekosa sana.

Nilitolea tu mfano tena baada ya wewe kusema hiyo dressing huwa inawaongezea credit za kuonekana kiutumishi.

Hili suala la kuzungumzia hiyo code naliacha kuanzia leo.
 
Hahahahaa.

Nisamehe sana, nimekosa mimi, nimekosa sana.

Nilitolea tu mfano tena baada ya wewe kusema hiyo dressing huwa inawaongezea credit za kuonekana kiutumishi.

Hili suala la kuzungumzia hiyo code naliacha kuanzia leo.
Hapana kaka, haina shida kabisa[emoji23]
 
Ni kweli mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Ulichoandika kinafanana na changu..

Hata Mimi nimeingia kwenye Oral za kutosha tu, ila iliyonipa kazi ni Ile niyopata 50 kwenye written, tena tuliopata 50 tulikuwa watatu, Mungu alinitendea muujiza kuitwa Mimi na jamaa aliyekuwa wa nne kwenye written, yanii Huwa sielewi yule jamaa aliyepiga 96% alikosea Nini ( ila Kwa sasa amepata kazi yupo TRC)..
 
Kwa kada ambazo hazihusishi Prac na Presentation kwenye interview, mkishapita kwenda Oral matokeo ya written hayana msaada tena, mnaenda kuanza moja (mkiwa na alama 0 au 100 wote, sasa mtaanza kuzipandisha au kuzipunguza kadri mtakavyokuwa mnajibu maswali ya oral), hapo ndipo unapoona aliyepata 96% written anakosa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…