Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Hivi kama una namba ya NIDA tu, na huna kitambulisho, kwenye kukaguliwa vyeti hawawezi kukusumbua?
hawataki namba ya nida au softcopy ID... kama huna ID original kachukue barua ya utambulisho serikali ya mtaa wako
 
Kwakweli mimi sio muongeaji sana, ni aina ya watu ambao hua wanachoka na kupoteza umakini wanapohojiwa kwa zaidi ya dakika 15. Nondo nnazo ila pumzi inakata mapema naaza kujibu ovyo😄. Kikubwa saiv nafuga zangu mbuzi katoliki 🐖. hawa hawahitaji wapiga domo ni chakula, maji, dawa usafi bhaaasi! Waajiri wanataka wachonga ngenga na sio wachapa kazi.
 
😂😂😂😂😂For sure introvert inakuaga shida sana lazima unaona kero kujibizana
 
Kwakweli mimi sio muongeaji sana, ni aina ya watu ambao hua wanachoka na kupoteza umakini wanapohojiwa kwa zaidi ya dakika 15. Nondo nnazo ila pumzi inakata mapema naaza kujibu ovyo[emoji1]. Kikubwa saiv nafuga zangu mbuzi katoliki [emoji241]. hawa hawahitaji wapiga domo ni chakula, maji, dawa usafi bhaaasi! Waajiri wanataka wachonga ngenga na sio wachapa kazi.
Yote ni maisha bro ..na maisha ni kuchagua .. don't give up ujui ya kesho ukidondoka au ukiteleza INUKA endelea na safari ..tunajifunza kutokanA na makosa ndio life [emoji123][emoji123][emoji123] ONE DAY yes itakuwa yako
 
Kwakweli mimi sio muongeaji sana, ni aina ya watu ambao hua wanachoka na kupoteza umakini wanapohojiwa kwa zaidi ya dakika 15. Nondo nnazo ila pumzi inakata mapema naaza kujibu ovyo[emoji1]. Kikubwa saiv nafuga zangu mbuzi katoliki [emoji241]. hawa hawahitaji wapiga domo ni chakula, maji, dawa usafi bhaaasi! Waajiri wanataka wachonga ngenga na sio wachapa kazi.
Na changamoto ni kwamba mode of assessing candidates ni moja kwa wote, so inawa favor extroverts kuliko introverts, wanakosa watu very talented kwasababu ya style moja ya interview.
 
Nilienda usaili BOT, tulikua nyomi sana, watu wakawa wanasema sitatoboa maana ni interview ya kwanza. Huwezi amin nilipita interview zote tatu mpaka oral, siku ya oral tukapokonywa simu saa tatu asubuhi tukafungiwa kwenye moja ya yale maghorofa yao juu kabisa. Ni mwendo wa kula vyuku na kwenda toilet tu, nikaja kuingia kwenye interview saa mbili kasoro usiku toka asubuhi. Mule ndani kiukweli mwanzo nilijikanyaga sana hasa kwa maswali hayahusiani na field yangu. Ila kwa maswali ya field wale jamaa walikiri ndani ya chumba cha panel kuwa nipo vizuri. Niliambiwa kuwa nitapigiwa simu ndani ya wiki mbili ila mpaka Leo sijawahi pigiwa nadhani sababu iloniangusha ni mavazi sikua nimewaka sana kama wengine.

Nashukuru mungu kwa sasa nipo chuo kikuu kimoja nchini kama mkufunzi msaidizi na mrija wa asali ni mrefu kidogo zaidi ya ule wa BOT.

Mungu akikupa akuandikii barua, BOT walinipa funzo la kuvaa, tuliofanya usaili chuo kikuu kimoja na tukafika oral nadhani watakua washafahamu. Umaridadi unaongeza marks za kutoboa
Mr.@mzizi1 embu tupe experience ya usahili wako wa ukufunzi wa chuo mpka kupita ...itatusaidia vijana wenzako tulio na ndoto za kuwa wakufunzi wa vyuo kama tutabahatika
 
Safari ilivyoanza mwaka 2017,
Nakumbuka safari ilianza mwaka 2017 ya kujisajiri na website ya PSRS yaani utumishi na ni baada ya kupata hamasa kutoka kwa rafiki yangu wa karibu baada ya yeye kupiga usaili mmoja tu na kupata kazi yaani (One touch).

Saili nilizohudhuria za Utumishi,

Nilifanikiwa kuomba nafasi 11 za utumishi Hapo ni kuanzia mwaka 2018 hadi 2019 na kati ya hizo nilizofanikiwa kuitwa zote 11 na kati ya hizo nilizofanikiwa kuingia Mahojiano ni 6 tu! kwa muda tofauti tofauti,na kama unavyojua fani za biashara nafasi 1 tulikuwa tunahudhuria mpaka watu 600 vuta taswira hapo na nyingine matokeo nilikuwa nakuwa wakwanza kabisa pale kwenye usaili wa kuandika na nikiingia mahojiano majibu yakija ya kupangiwa kituo MUNGU hakuwa ana bariki.

Nilichojifunza,
Saili ambazo nilifanya vizuri sana zakuandika sikufanikiwa kupata kazi
na Saili ambazo zilinipatia kazi ni mbili chini utaelewa kivipi mbili,yaani ya kwanza kabisa ambayo ilinitoa kwenye Database na hii ya mwisho ambayo nakumbuka kwenye majibu ya written nilishika mkia ila kwenye Oral kwa kuwa nilikuwa nimefika hatua najiamini hadi kupitiliza ile saili nakumbuka nilikuwa kama napiga nao story mpaka kuna comment nilipewa baada ya kumaliza “Thank you Mr. flani for changing our Mood on how you convesant with us in a very confident way” nami nikamaliza kwa mbwembwe ‘’Thanks for fair and good interview dear honorable panelist,I’m just wish all the blessed weekend” wakacheka wakanibariki pia.

Nilivopata kazi,
Mkeka ulitoka hii kazi nilipata moja kwa moja japo usaili wa kuandika nilishika mkia, na baada ya wiki nataka ku ripoti likatoka Tangazo lingine nimepata kazi Taasisi fulani kupitia KANZIDATA na kupitia barua yangu iliainisha aina ya usaili ulonitoa kwenye KANZIDATA basi ulikuwa ni wa kwanza kabisa ambao nilifanya (Mapema mwaka 2018) nikaangalia kwenye maslahi basi nikabaki huko.

Samahani,
kwa uandishi wangu mbovu kama kuna pahala nimemkwaza mtu..[emoji3]

ZINGATIO;
Nilifunga sana na kumshirikisha MUNGU kwa imani yangu katika hiko kipindi chote cha utafutaji.

MUHIMU & USHAURI,
Kukata tamaa ni mwiko ilifika muda hata nyumbani sisemi kama naenda kuhudhuria Usaili ili kuepuka yale maneno ya ;-​
  • Watu wangapi mmeitwa?​
  • je utapata?​
  • Mbona watu wengi?​
  • Kazi hakuna sikuhizi!​
  • Bila connection hutoboi!​
Kuna muda unapambana kimya kimya mafanikio ndiyo yatoe majibu kwa watu.

Asante.​
Ni kweli mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hili swala umelikazania kaka
Hahahahaa.

Nisamehe sana, nimekosa mimi, nimekosa sana.

Nilitolea tu mfano tena baada ya wewe kusema hiyo dressing huwa inawaongezea credit za kuonekana kiutumishi.

Hili suala la kuzungumzia hiyo code naliacha kuanzia leo.
 
Hapana kaka, haina shida kabisa[emoji23]
 
Ni kweli mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app

Ulichoandika kinafanana na changu..

Hata Mimi nimeingia kwenye Oral za kutosha tu, ila iliyonipa kazi ni Ile niyopata 50 kwenye written, tena tuliopata 50 tulikuwa watatu, Mungu alinitendea muujiza kuitwa Mimi na jamaa aliyekuwa wa nne kwenye written, yanii Huwa sielewi yule jamaa aliyepiga 96% alikosea Nini ( ila Kwa sasa amepata kazi yupo TRC)..
 
Kwa kada ambazo hazihusishi Prac na Presentation kwenye interview, mkishapita kwenda Oral matokeo ya written hayana msaada tena, mnaenda kuanza moja (mkiwa na alama 0 au 100 wote, sasa mtaanza kuzipandisha au kuzipunguza kadri mtakavyokuwa mnajibu maswali ya oral), hapo ndipo unapoona aliyepata 96% written anakosa kazi
 
Back
Top Bottom