Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
- Thread starter
-
- #61
Safi mkuu...je ulipata maswali yote?Best advice nlipewa before oral ni fanya mazoezi ya kuzungumza hata mbele ya kioo spent 2 days doing just that niko moja ya taasisi hot through my first trial, confidence ndo kila kitu.
Hivi hizi attached documents huwa tuzifungua vipi?Shukrani mkuu.
Ukiclick iyo attachement ina downloadHivi hizi attached documents huwa tuzifungua vipi?
Maana kila nkigusa naona marinjirinji tuu.
Muongo.Usiongee kitu huwezi hata kuthibitisha ukibanwa P*Nachokiamini mpaka sasa hata kama interview itakuwa tia maji tia maji kama umeshafanyiwa mchakato we pale ni kuwakilisha jina tu ila kazi ni yako tayari.
Kwa kifupi wewe ni muoga! Ondoka kwenye uoga jifunze kuikabili hali.Nikifikira 30 minutes maswali 5 kwa written na ukongwe huu, acha niendelee kukomaa na private sector 😁
Unaweza kuingia chaka kwa ku google be careful.Sikiliza vizuri swali linataka ujieleze vitu gani.Umeambiwa tupe historia ya maisha yako ikiwa ni pamoja na shule na uzoefu wa fani.Unasema mimi ni highly motivated person,organised and I hold bachelors degree.After completed bachelor( broken eng hiyo) am just at home.Thank you.Haa unataka marks hapo?? Hapo umefanya makosa yafuatayo:Nenda youtube search "Commonly asked interview questions" sikiliza namna ya kuyajibu.
Practice wewe mwenyewe mara kwa mara you'll be fine.
Hii ni kwa ajili ya practice ndugu. Kwani youtube ndio wanajua maswali atakayoulizwa. "Commonly asked.......Unaweza kuingia chaka kwa ku google be careful.Sikiliza vizuri swali linataka ujieleze vitu gani.Umeambiwa tupe historia ya maisha yako ikiwa ni pamoja na shule na uzoefu wa fani.Unasema mimi ni highly motivated person,organised and I hold bachelors degree.After completed bachelor( broken eng hiyo) am just at home.Thank you.Haa unataka marks hapo?? Hapo umefanya makosa yafuatayo:
1.Nani amekuuliza wewe una caliber zipi?
2.Yaani ulivyozaliwa tu ukaenda kusoma bachelor, huko kwingine ulikopita hakuhusiki na historia ya shule?
3.Hlf uko nyumbani tu umekaa! Hufanyi hata vishughuli vidogo vidogo...umekaa tu?
Hivyo usikariri google sikiliza swali
Hahahahah sawa bana we pambanaMuongo.Usiongee kitu huwezi hata kuthibitisha ukibanwa P*
Hapana I didn’t nlishindwa jibu mojaSafi mkuu...je ulipata maswali yote?
😀😂😂😂kumbe kamati ya ufundi muhimu umetisha mkuu next interview ntakuwa fully namimiNyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
Unaijua kanzidata? Ungejua usingeshangaa kwanini nafasi moja wafanya usaili wengi.Wala hutakiwi kuogopa bali kujitosaKwangu jambo gumu kwenye interview ni kuchoma nauli, nitoke huku umakondeni hadi Dodoma, alaf nafasi ni moja huku wanaofanyiwa interview wanakaribia mia, basi hapo nakata tamaa kabisa hata kuomba kazi yenyewe
Mkuu nipe elimu hiyo kuhusu kanzidata tafadhariUnaijua kanzidata? Ungejua usingeshangaa kwanini nafasi moja wafanya usaili wengi.Wala hutakiwi kuogopa bali kujitosa
Kwani kwenye hiyo oral huwa wanatoa matokeo na kumjuza mtu kuwa amepata maswali mangapi au huwa wanawapangia tu vituo vya kazi wale waliofaulu??Safi mkuu...je ulipata maswali yote?