Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

hivi kuna uwezekano wowote kama una experience flan na kazi haijahitaji hyo experience hasa hizi za utumishi na ukapewa kipaumbele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh watu wapo kimya jobless hathaminiki kabisa
Kumbe hakuna undugu kwenye pipa la Asali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amebadili ID na hiyo Id siioni mara kwa mara humu jukwaani
 
Nyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]asante kwa kuniondoa stress asee
 
Hapo kwenye experience nilikuwa naongelea zile zinazohitaji experience hizi junior level wala hawaangaliagi experience mzee
Okay nmekisoma bro tuendelee kusubria placement na kuangalia status zetu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…