Usajili wa Bernard Morrison kurudi Yanga, kuna mvutano mkali unaendelea!

Lisemwalo lipo na ikitokea karudi Yanga sitakuwa na jinsi ya kukataa lakini moyoni itaniuma sana sababu aliondoka kipindi tunacho muhitaji halafu wanamrudisha kipindi ambacho hatuna shida naye.

Nadhani uongozi ufikie hatua uone hana sifa za kucheza Yanga.
 
Mmh unapotosha, nia haikuwa kumrejesha bana. Nia ilikuwa kupata haki inayoambatana na kulipwa faini, yaan wapate mpunga kwa simba na kwa Morrison mwenyewe
 
Sasa mzee kama ulienda kuwinda sungura na siyo swala utamchukuaje swala kwa kukosa sungura?
 
Hao wanaofikiria kumrudisha huyo jamaa Yanga wanawaza/wanafikiri kwa kutumia akili kweli au?

Kuwakoga Simba ili iweje? Ndio maana soka letu halikui kwa mawazo ya kipuuzi kama haya.

Huyo hafai kurudishwa/kurudi Yanga. Wamwache aende zake.

Hata C. Chota Chama haitapendeza kurudi Simba. Hana jipya tena. Vilabu vitafute vipaji vipya ili kukuza soka letu.

Tu-focus kwenye mashindano ya kuliletea taifa heshima katika mashindano makubwa, mfano AFCON na World Cup kutokana na wachezaji waliopikwa na kuiva kwenye vilabu vyetu vya soka.

Tusajili wachezaji walau kwa kigezo cha kuchezea timu ya Taifa huko walikotoka badala ya kuwaokota toka vichochoroni.

Huu U-Simba, U-Yanga, U-Azam n.k tusipouacha soka letu litaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu.

Mnaudhi sana!!!!
 
Mmh unapotosha, nia haikuwa kumrejesha bana. Nia ilikuwa kupata haki inayoambatana na kulipwa faini, yaan wapate mpunga kwa simba na kwa Morrison mwenyewe
We umesahau nugaz kwenye tamasha la wananchi alipokuwa anatambulisha wachezaji alimtaja na morrison akisema ni mchezaji halali wa yanga na ni swala la muda tu atarejea jangwani na mashabiki wakapiga kelele za shangwe?
 
Yanga nao watakuwa wamekosa kazi kama watamchukua huyo mchezaji kwani hata ukiacha mazingira ya yeye kuondoka klabuni hapo hana mpira wowote wa maana kwani yeye huchezea jukwaa.

Yanga waache kucheza na pesa watafute wachezaji wa maana wasajili waachane na huyo garasha ambaye hata nidhamu hana.
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe komaeni nalo hilo furushi lenu la mavi.
 
Hapo ndipo wanapotudondosha mashabiki. Bado suala la manara kukaribishwa kwa mbwembwe zoote halijapoa(inauma hii wala hana umuhim)
Ila bana bestie ki soka la Tanzania Tanzania hao viongozi wanaeza ona pia kumchukua tena kuna mtu wanamkomoa. 🙁
 
Huo mvutano uko wapi, hakuna kiongozi yoyote wayanga ambaye amezungumza kumuhusu Morrison hata hozo taarifa tumezipata mtandaoni
 
Sasa mzee kama ulienda kuwinda sungura na siyo swala utamchukuaje swala kwa kukosa sungura?
Huoni ukiwa na swala unakuwa una double profit kwasababu pengine huyo sungura angeku save kwa njaa ya siku moja tu?
 
We umesahau nugaz kwenye tamasha la wananchi alipokuwa anatambulisha wachezaji alimtaja na morrison akisema ni mchezaji halali wa yanga na ni swala la muda tu atarejea jangwani na mashabiki wakapiga kelele za shangwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ndipo wanapotudondosha mashabiki. Bado suala la manara kukaribishwa kwa mbwembwe zoote halijapoa(inauma hii wala hana umuhim)
Umeonaee. Na wenyewe pia wanalijua hilo kwamba watu hawamfurahii Manara ni hiyo basi tu.

Tuwaombe wasituangushe kwa kweli hilo pira (morison) wawaachie hao hao 5imba wahangaike nalo. 😀
 
Yule kaja kukera utelembwe makolo fc
 
Kweli maana jamaa kabakiza akili za kuvukia barabara tu. Mtu anapiga picha mbovu mbovu za chupi hadharani,utovu wa nidhami etc hana faida kwa timu
Umeonaee. Na wenyewe pia wanalijua hilo kwamba watu hawamfurahii Manara ni hiyo basi tu.

Tuwaombe wasituangushe kwa kweli hilo pira (morison) wawaachie hao hao 5imba wahangaike nalo. 😀
 
Yule Morisson bangi inamsumbua aende popote anapotaka, zilipendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…