Umesema kweli kabisa. Katika hatua za maendeleo ukitoka ubepari ndiyo unakuja kwenye ujamaa(socialism?). Sasa hata mimi sielewi unawezaje kuwa mjamaa (kugawana mali) wakati hakuna mali ya kugawana na hakuna kikundi kinachowanyonya wengiSasa we Nyerere unaanzishaje ujamaa wakati huna utajiri wa viwanda katika nchi unaowanufaisha wachache?
Mnatafuta ulaji tuKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Toeni hilo neno ujamaa kwenye hilo jina. Ujamaa haujawahi kuwa na tija kwa taifa lolote ulimwenguni zaidi ya kuleta madhila tu kwa watu wake.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Wewe ndiye hujui lugha za kimataifa. Hizi ni enzi za utandawazi mtu anatumia lugha oyote duniani. Kung'ang'ania kishwahili peke yake ni muhuri wa "ujinga".Chama Chenu hamjui kiswahili?
Heading imeandika ujamaa? Mwenye hoja anazungumzia matumizi na utunzaji wa raslimali za taifa. Huo ndio ujamaa? Ubepari wenu ndiyo maendeleo? Kugawa tembo , twiga, madini kwenda china, uwekezaji dhurumati, madawa ya kulevya na ukiukwaji wa utawala bora ndiyo maendeleo ama ndio mbadala sahihi wa ujamaa?Toeni hilo neno ujamaa kwenye hilo jina. Ujamaa haujawahi kuwa na tija kwa taifa lolote ulimwenguni zaidi ya kuleta madhila tu kwa watu wake.
Heading imeandika ujamaa? Mwenye hoja anazungumzia matumizi na utunzaji wa raslimali za taifa. Huo ndio ujamaa? Ubepari wenu ndiyo maendeleo? Kugawa tembo , twiga, madini kwenda china, uwekezaji dhurumati, madawa ya kulevya na ukiukwaji wa utawala bora ndiyo maendeleo ama ndio mbadala sahihi wa ujamaa?
What does a socialist party entail? This is obviously a flagship of socialism and it is where my fears emanate from.Heading imeandika ujamaa? Mwenye hoja anazungumzia matumizi na utunzaji wa raslimali za taifa. Huo ndio ujamaa? Ubepari wenu ndiyo maendeleo? Kugawa tembo , twiga, madini kwenda china, uwekezaji dhurumati, madawa ya kulevya na ukiukwaji wa utawala bora ndiyo maendeleo ama ndio mbadala sahihi wa ujamaa?
mpe nafasi aeleze mkuu, kumshambulia sio tija...wananchi ndio wata judgeJikombowe wewe na familia yako kwanza halafu ndio uje kujaribu kutulaghai na sisi.
Vyama vilivyopo vinapaswa kupunguzwa idadi na si kuongeza idadi.
Wananchi tuna jambo letu na Mzee Hashimu Rungwe msitutowe kwenye reli.
Wanasema hatuhitaji utegemezi wakati Jina la chama chao tu tegemezi kwa lugha ya kiingereza !!!Wewe ndiye hujui lugha za kimataifa. Hizi ni enzi za utandawazi mtu anatumia lugha oyote duniani. Kung'ang'ania kishwahili peke yake ni muhuri wa "ujinga".
Njia za kutafuta ruzuku au siyoKama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Simba na yanga na CCM wana washabiki Tanzania bara na Zanzibar .Chadema Zanzibar haina kitu imezidiwa na washabiki wa simba, yanga na CCM
Chadema acha kuilinganisha na simba au yanga au CCM sio saizi ya Chadema
Kama ni chama chawa cha CCM kitapata usajili , vinginevyo unajisumbua bure, kamuulize Nape na CCJ yake iliishiaga wapi.Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
KANU iliangushwa na ukabilaYanga na simba unaziona maana hazihujumiwi na vyombo vya dola. Ccm isingejibanza kwenye vyombo vya dola, leo hii ingekuwa kwenye kaburi moja na KANU ya Kenya. Kwahiyo ukweli huo unapaswa kutembea nao hata kama unauma.
mpe nafasi aeleze mkuu, kumshambulia sio tija...wananchi ndio wata judge
KANU iliangushwa na ukabila
Ukabila ulipofikia kiwango cha juu wakaanza kugombana kikabila ndani ya Chama .Vita ilikuwa kubwa kila kabila kubwa likajitoa KANU likaunda chama chao .Wajaluo wakawa na chao na wakiluyu walawa na chao na makabila mengine yakawa na chao
Kilichofuata baada ya Kuua KANU ni vita za kikabila kwenye uchaguzi hadi Kenya ikazalisha wakimbizi wa ndani.Kikwete ndie alienda kuwasaidia kumaliza ugomvi wa makabila kugombea madaraka hadi kujuana
Ni magomvi yao ndani ya KANU ndio yaliua KANU sio vyombo vya dola wala tume wala kusema demokrasia kupanua!!! Ukabila ndio uliua.CCM ukabila hamna tofauti na Chadema.
Nchi hii lazima ijitegemee kwa rources ilizonazo haihitaji foreign aid ,nahisi tunakosa exparties katika baadhi ya sector ambao wanaweza kuwa hired anywhere, tunahitaji machinery ,tunahitaji capital vyote vinaweza kupatikana , tunahitaji talented committed ethical strong leadership and management ----etc
Huyo jamaa anamshambulia huyo anayeelezea hiki chama, sijui akashughulike na familia yake blah blahMkuu wananchi ni pamoja na hawa member humu jukwaani na hapa ndio wameanza kujudge, au wananchi ni wale wasioingia jf?
Wanazuga kumuenzi JPM wakati JPM alikuwa hapendi English..Kama nimekufahamu uzuri lengo kuu nashauri kwanza tu muanze na kubadili jina la chama chenu na muje na jina la lugha ya Taifa. Ukizingatia unachojaribu kusema naona hakuna sababu hata moja ya chama chenu kutumia lugha ya kigeni wakati lugha yetu ya taifa inajitosheleza. Anzeni hapo, jivunieni lugha yenu!