Huyo jamaa anamshambulia huyo anayeelezea hiki chama, sijui akashughulike na familia yake blah blah
Wakati hamjui, akosoe chama na wazo la hicho chama
Lakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.ujamaa ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania. Ni ideology ambayo watu wengi hawailewi! Ni ujinga eti mitaala yetu inafundisha kugawana (sharing) wakati hatuna utajiri wa viwanda badala ya mitaala kufundisha kutafuta (capitalism = investment)!
hivi Nyerere alituonaje? bahati yake namheshimu alituletea uhuru na pia umaskini!@
nb: wazungu hawakumuelewa Nyerere pamoja na kuandika vitabu kibao nao wakaacha ibaki inasomeka "ujamaa" japokuwa yeye Nyerere "ujamaa" alimaanisha "socialism". This means Nyerere ali implement ideology ambayo hakuilewa!
Marxist theory is very complex ideology which tries to analyse ill effects of capitalism and offers solutions to exploitation and unequal distribution of means of production.
Sasa we Nyerere unaanzishaje ujamaa wakati huna utajiri wa viwanda katika nchi , utajiri unaowanufaisha wachache wenye viwanda au makampuni kupitia kulipa wafanyakazi mishahara midogo huku wakibeba faida yote wao?
Unaanzishaje socialism kupinga capitalism ambayo it doesn't exist?
unaanzishaje ujamaa wakati jamii yako ina many classes? Kuna wakulima, wafanyabiashara wadogo, wenye viwanda na makampuni, waajiriwa serikalini, waajiriwa sekta binafsi , na hapo hapo class ya waajiriwa wa serikali na sekta binafsi nao wameajiri houseboys housegirls, wana saluni na maduka,mashuleni, makampuni nk? ni vurugu mechi!
a true capitalist society inayoumiza vibarua wanaonyonywa "proletariat" ina two classes "capitalIst" or bourgeoisie na workers " proletariats" sasa Nyerere alipoanzisha "Ujamaa" je tulikuwa na capitalist society? je nchi ilikuwa imeendelea kwa viwanda?
yaani Nyerere alizingua kinoma!
Mimi naamini nauelewa ujamaa kuliko Nyerere!! nikizeeka nitaandika "socialism" kwa kiswahili ili kutofautisha na "ujamaa" wa Nyerere
in short "ujamaa" sio "socialism" na huwezi kufanya "socialism" bila kwanza nchi kuwa "capitalist" na ukilazimisha lazima ufeli maana sio muundo wake!!
huwezi kutembea bila kuanza kukaa na kusimama
So if they are, does it justify women not to drive cars? What are you standing for?Kafanye utafiti vizuri mkuu..
Saudia ni Pro-western
AsanteChina pia hakuna demokrasia ya vyama vingi kiko chama kimoja tu cha siasa lakini huwezi sikia mzungu akiongelea China kuwa iruhusu demokrasia ya vyama vingi
Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leoKANU ilitolewa madarakani na ukabila, nitajie kabila lililoitoa madarakani.
mkuu unakumbuka England as "workshop of the world"? chukua taswira hiyo to understand a capitalist society ambayo ilimchukiza mtu mmoja maskini akiitwa Karl Marx alieona vibarua wengi wakinyonywa na bepari mmoja tu ambae kila kukicha anakuza mtaji na kupaa kiuchumi!!Lakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.
Bado hujui wanachofanya China.Jina la chama ni la kijamaa Chinese Communist Party !!! lakini nchi ya kibepari iliyojaa ubepari kila kona
Jina hawajabadilisha lakini sera na mipango yote ya ni ya kibepari inayotegemea uchumi wa soko huriua ambao kila mtu anafaidi kwa jasho lake na kujituma Kwake na faida apatayo ni yake hawagawani na mwingine ni yake .Kodi tu ndio Serikali inatumia ikishamkata!
Itunza fedha nisisahaulike[emoji16]Ukatibu mnipe mimi
Huwajui wachina, au hujui maana ya ubepari/u-communist ni nini.China haina ujamaa tena,ni mabepari watupu.
Mkuu 'Yoda', unanipa elimu mbovu.Ni kama vile unavyosikia Massachusetts Institute of Technology(MIT) ila wanafundisha Uchumi pia au unavyosikia SUA ila wanafundisha Rural development ambayo ni siasa kwa wingi. Jina la chama lisikupoteze.
Tanzania tuna Chama cha Mapinduzi ila hakijwahi kufanya mapinduzi yoyote na Katiba yetu ya mwaka 1977 inasema sisi ni taifa la kijamaa ila ujamaa ulikufa tangu mwaka 1985
Naunga mkono Hoja hii!!Jikombowe wewe na familia yako kwanza halafu ndio uje kujaribu kutulaghai na sisi.
Vyama vilivyopo vinapaswa kupunguzwa idadi na si kuongeza idadi.
Wananchi tuna jambo letu na Mzee Hashimu Rungwe msitutowe kwenye reli.
ha ha ha! Hashimu Rungwe my foot!!Naunga mkono Hoja hii!!
Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leo
.Wakikuyu ndio waliishinda KANU yenye migogoro baada ya kukitoa na kuunda chama Chao cha kikabila wakaobwaga chino KANU ambayo iliamzishwa na Mkikuyu Jomo Kenyatta ambaye wanatoka kijiji kimoja na Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta !!!
Kifupi Wakikuyu walikoanzisha wenyewe na kukiua wenyewe baada ya kuona makabila mengine ndani ya KANU yanasumbua
Sio demokrasia iliyoua KANU ni ukabila
Aliyekitoa madarakani KANU ni mkikuyu Mwai Kibaki ambaye wanatoka sehemu moja Na Uhuru Kenyatta. Kibaki alipomaliza muda wake akamkabidhi kijiti Uhuru Kenyatta mkikuyu mwenzie toka kijiji kimoja kuwa Raisi wa Kenya hadi leo
.Wakikuyu ndio waliishinda KANU yenye migogoro baada ya kukitoa na kuunda chama Chao cha kikabila wakaobwaga chino KANU ambayo iliamzishwa na Mkikuyu Jomo Kenyatta ambaye wanatoka kijiji kimoja na Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta !!!
Kifupi Wakikuyu walikoanzisha wenyewe na kukiua wenyewe baada ya kuona makabila mengine ndani ya KANU yanasumbua
Sio demokrasia iliyoua KANU ni ukabila
duh! hebu wakenya njooni mtueleze ila msisahau pia kutueleza kuhusu SaitotiAcha upotoshaji wa kijinga, kama Wakikuyu ndio waliitoa KANU, mbona Moi alimpendekeza Uhuru awe mgombea wa urais? Hapa hoja yako ya ukabila haina mashiko.
But China wamefanikiwa sana Ujamaa kuliko nchi nyingi za kibepari... Na Ujamaa wa China ulianza from Ziro.Ilikuwaje China wakafanikiwa? Na Ujamaa wetu tuliiga China( Kumbuka ziara ya Nyerere China mwaka 1965) ..... Nyerere alikuwa sahihi, but alikosa ushirikiano kutoka ndani na nje ya nchi.....wasaidizi wake walimwangusha.mkuu unakumbuka England as "workshop of the world"? chukua taswira hiyo to understand a capitalist society ambayo ilimchukiza mtu mmoja maskini akiitwa Karl Marx alieona vibarua wengi wakinyonywa na bepari mmoja tu ambae kila kukicha anakuza mtaji na kupaa kiuchumi!!
Nyerere alianzisha ujamaa ideology nchini kwa mhemko tu wa kutamani kutimiza ndoto za mzungu Karl Marx za kuona jamii yenye raia wasiopishana sana kiuchumi but Nyerere was blind to see other factors kama country level of economy and industrialization , foreign currency deposits, country level of science and technology, international transfer of capital and technology, level of democracy, Corruption level, inflation level, Population composition and literacy, Military power, Etc
With an assumption that Nyerere understood Socialism and how and when it ought to be implemented , then alitudharau sana raia na kutufanya sote wajinga kwa kuigeuza nchi kuwa laboratory kwa kutest ujamaa huku akijua kuwa anaenda kinyume na utaratibu wake wa kuanzishwa! Wazungu watakuwa walikuwa wakimuona kama katuni, kuimplement kitu chao tofauti na walivyoelekeza! sorry guys!
Sorry bro najua hupendi kusikia kuwa Baba yetu Nyerere alichemka na ujamaa wake ambao hakuuelewa kabisa kwa mtazamo wangu. mimi wamenisomesha ujamaa wazungu kama yeye ila mine is contemporary knowledge with no kukariri , ulaya mnafundishwa kisha kuna session kila mtu anasimama mbele anaeleza hiyo theory of the day na darasa zima wanasikiliza na kukukazia hamna utani na wanakuhoji na ukichemka maelezo darasa zima kila mtu anakurekebisha hapo kuna wazungu , wahindi , waarab waJapan wanaijeria wakenya waChina etc !! In short nimeuelewa ujamaa na ubepari kwa kichwa bila kushika kitabu nakuelezea kwa kiswahili A to Z na hapo utasema "Why did you our father of the nation misled our nation ?!"
Uchaguzi ule ulikuwa wa marafiki na ndugu wakikuyu watupuAcha upotoshaji wa kijinga, kama Wakikuyu ndio waliitoa KANU, mbona Moi alimpendekeza Uhuru awe mgombea wa urais? Hapa hoja yako ya ukabila haina mashiko.
Alijenga viwanda vya kilimo wakati watu wanalima kwa jembe la mkono!!! Alitakiwa kwanza ahamasishe kilimo cha mashamba makubwa yaani estates na cha kisasa ili kiweze kufeed viwanda .Kiwanda sio utani kinahitaji mazao mengiLakini Nyerere alijenga viwanda mkuu, Hapo inamaanisha alikuwa anataka nchi ijitegemee.na kusisitiza kilimo.
China ujamaa kama ambavyo Urusi na nchi zote za ujamaa za Ulaya na Cuba haukufanikiwa ulishindwaBut China wamefanikiwa sana Ujamaa kuliko nchi nyingi za kibepari... Na Ujamaa wa China ulianza from Ziro.Ilikuwaje China wakafanikiwa? Na Ujamaa wetu tuliiga China( Kumbuka ziara ya Nyerere China mwaka 1965) ..... Nyerere alikuwa sahihi, but alikosa ushirikiano kutoka ndani na nje ya nchi.....wasaidizi wake walimwangusha.