Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Ndio hesabu za Mpambe wa Abood hizi kwamba jamaa Kwa saa anatoa gari 6 Yani zinazoenda 3 na zinazorudi 3 kila saa!!!...Ndio akasema Abood anazo Basi 300 Kwa haraka haraka
jamaa alikurupuka katika hili, hilo swala la kutembeza gari 72 kwa siku moja moro dar kwa wasafir gani hao? Yupo pekee yake kwenye hiyo biashara?
 
jamaa alikurupuka katika hili, hilo swala la kutembeza gari 72 kwa siku moja moro dar kwa wasafir gani hao? Yupo pekee yake kwenye hiyo biashara?
Anadhani kupata abiria 69 kujaza Gari au hata Nusu yake ni Jambo la kawaida sana kama Daladala zenyewe zina tega mingo itakuaje kwenda Morogoro?
 
Anadhani kupata abiria 69 kujaza Gari au hata Nusu yake ni Jambo la kawaida sana kama Daladala zenyewe zina tega mingo itakuaje kwenda Morogoro?
wakati ukiwa msamvu unaambiwa subiri gari inafika muda si mrefu unakaa zaidi ya saa zima kusubiria, na ikifika hadi ijaze ndiyo safar inaanza.
 
Elon Musk bado Analipa mkopo wa dollars za Marekani million 500
 
Ndio hesabu za Mpambe wa Abood hizi kwamba jamaa Kwa saa anatoa gari 6 Yani zinazoenda 3 na zinazorudi 3 kila saa!!!...Ndio akasema Abood anazo Basi 300 Kwa haraka haraka
Yaani hapo kwa wastani kila baada ya dakika 10 kuna gari inaondoka msamvu au mbezi.
Hapa kichwa kinakataa kabisa
 
Una haki ya kushangilia ila umo ukipanda kwenda dar utalipa nauli ila ukifa wewe na familia yako kwa kunywa maji machafu ya mtoni kwa sababu umekosa maji safi na salama yale mabasi mengine ya zamani yatakubeba bure kukupeleka kola ukazikwe.
 
Nadhani ni Moro Best ndio walikuwa washindani wa Abood, pia kuna kampuni ya Hood sijui imefia wap
 
Nitajir hizo basi kama sio story za vijiweni au sio.
 
Hebu taja hayo mabasi ya Magufuli, ukishindwa kutaja ww ni mnafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…