Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Hahaha Yes huyo huyo.[emoji1][emoji1][emoji1] Musukuma huyu huyu mabus yake yanafungwaga na kamba za katani akidakwa anaanza kulia Lia eti Ni fitna za RTO?[emoji1][emoji1]
mwamba ana magari mengi. na mengine yupo indirectly kuficha identity yake..
kuna watu wana magari..
ukija kwenye malori si ajabu kumkuta mtu ana sem mia 3 au mia 2 hadi mia 4..
[emoji16]Mtu unamiliki. ki subaru cha mkopo unajiona wewe ni wewe.
%kubwa ya magari yanayotembea barabarani wamiliki wake wanajirudia rudia.
unamkuta mtu kampuni hii ana magari 10, huku ana 40 kule ana 60.
anafanya kuchange identify na jina tu.
Magufuli mwenyewe kafa akiwa kaacha sem 100
na mabasi si chini ya 60.