Kuna Watanzania wakiamua kutoa basi zao huko barabarani hazitoshi!!.. Super Feo alianza kama utani vile!!
Mmmmh! Basi 300 hapana.nashindaga sana pale gereji kwake moro.Humjui abood wewe,utakuwa umezaliwa juzi,kila nusu saa kuna gari inatoka msamvu kuja dar na dar kwenda moro,bado route za mikoa bado yanayokodishwa,reserve na yaliyo service
Kuna Watanzania wakiamua kutoa basi zao huko barabarani hazitoshi!!.. Super Feo alianza kama utani vile!!
Mmmmh! Basi 300 hapana.nashindaga sana pale gereji kwake moro.
Naona Scania zinaanza kurudi Kwa Kasi sana!!..
Zina faida kwa route ndefu sio route fupiNdo zenye faida si unaona now hata Newforce nguvu yake imepungua tofauti na mwanzo alivyoanza kuwekeza.
Boss huyo Sauli unayemsemea hana hata gari 10...na route zake ni Dar Mbeya na Dar Tunduma pekee. Kama unaishi dar basi utasema superfeo ana route chache maana utakuw unazijua route za Dar- Songea kupitia Lindi na Dar - Songea kupitia Iringa ila kwa taarifa yako wanaoishi Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Iringa basi wanajua uwingi wa mabasi ya Superfeo... Superfeo ana mabasi yanayoanzia Mtwara Mjini, Masasi, Namtumbo, Tunduru, Songea mjini, Mbinga, Mbeya.Baadhi ya route zake ni Mbinga - Dar, Mbinga - Mbeya, Mbinga - Tunduma, Mbinga- Iringa, Mbinga - Makambako, Mbinga- Njombe, Mtwara mjini - Songea, Mtwara - Mbeya, Masasi - Songea, Masasi - Mbeya, Tunduru - Mbeya, Tunduru- Iringa, Namtumbo- Ilula, Songea- Tunduma, Songea- Mbeya, Songea- Njombe, Songea- Makambako, Songea - Tunduma, Songea- dar kupitia Lindi, Songea - Dar kipitia Iringa, Songea - Dodoma.......na hizo route ana specific buses to cover...zaman alikuw na Songea - swanga ila akaifuta.So tunaposema kaiteka nyanda za juu kusini, kaiteka kweli.Ila kwa kuwa hauishi huko huwezi tambua....hapo kuna route zingine sijaziweka gari za tunduruSuper Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee
Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
Kwa faida basi za mchina ndio zinafaida mkuu maana pesa inarudi haraka na faida unatengeneza ....scania kurudisha faida inachukua muda mrefu sana ingawa ndio zinadumu kwa muda mrefu ukilinganisha na mchinaNdo zenye faida si unaona now hata Newforce nguvu yake imepungua tofauti na mwanzo alivyoanza kuwekeza.
Ana mzigo mpya wa Zhongtong climber new model anauingizaNdo zenye faida si unaona now hata Newforce nguvu yake imepungua tofauti na mwanzo alivyoanza kuwekeza.
Kampuni yake, hela zake unataka kumpangia mkuuMwambieji abood apeleke kampunibhii DSE.. aache ubinafsi..
Nadhani bado unaishi miaka 2 iliyopita...huyo mzee wa Dar express ameshasurrender na kaingiza Zhongtong hata miezi miwili haijapita...ila hajui kutunza gari yule mzee au watu wake hawajui kutunza gari ....basi zake zinachoka haraka sana...amuangalie mwenzake KLM ni mtunzaji mzuri sanaYani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
Kuna mtu kanimegea hapa kwenye superfeo/selous kuna mikono ya wanasiasa kadhaa akiwemo msemaji msigwaBoss huyo Sauli unayemsemea hana hata gari 10...na route zake ni Dar Mbeya na Dar Tunduma pekee. Kama unaishi dar basi utasema superfeo ana route chache maana utakuw unazijua route za Dar- Songea kupitia Lindi na Dar - Songea kupitia Iringa ila kwa taarifa yako wanaoishi Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Iringa basi wanajua uwingi wa mabasi ya Superfeo... Superfeo ana mabasi yanayoanzia Mtwara Mjini, Masasi, Namtumbo, Tunduru, Songea mjini, Mbinga, Mbeya.Baadhi ya route zake ni Mbinga - Dar, Mbinga - Mbeya, Mbinga - Tunduma, Mbinga- Iringa, Mbinga - Makambako, Mbinga- Njombe, Mtwara mjini - Songea, Mtwara - Mbeya, Masasi - Songea, Masasi - Mbeya, Tunduru - Mbeya, Tunduru- Iringa, Namtumbo- Ilula, Songea- Tunduma, Songea- Mbeya, Songea- Njombe, Songea- Makambako, Songea - Tunduma, Songea- dar kupitia Lindi, Songea - Dar kipitia Iringa, Songea - Dodoma.......na hizo route ana specific buses to cover...zaman alikuw na Songea - swanga ila akaifuta.So tunaposema kaiteka nyanda za juu kusini, kaiteka kweli.Ila kwa kuwa hauishi huko huwezi tambua....hapo kuna route zingine sijaziweka gari za tunduru
Kuna mtu kanimegea hapa kwenye superfeo/selous kuna mikono ya wanasiasa kadhaa akiwemo msemaji msigwa
takataka za mchina hazina ishu yaani zile ni luxury ila hasara tupu ndani ya Mwaka mmoja limekongoloka Kama Malaya wa buguruni na wakati lilichukuliwa jipya km 0 Toka kiwandani Sasa ndio biashara Gani hiyo!Naona Scania zinaanza kurudi Kwa Kasi sana!!..
Hamieni tu MzumbeSasa mbona route ya Arusha analeta mabasi ya hovyo hovyo tatizo nini?
haswaa na ndio biashara siku zote ndio inavyotaka jamaa anaendesha Ile kampuni Kwa msaada wa wanahisa,lazima watu watie mikono Yao Kwenye kampuni yoyote Ile Ili mgawane faida hivi hivi itakukata,Kuna mtu kanimegea hapa kwenye superfeo/selous kuna mikono ya wanasiasa kadhaa akiwemo msemaji msigwa
HayaHamieni tu Mzumbe
Kama unaeza kushuka kutoka kwenye bed yako na sides zote wewe ni tajiri[emoji847]Haya