Boss huyo Sauli unayemsemea hana hata gari 10...na route zake ni Dar Mbeya na Dar Tunduma pekee. Kama unaishi dar basi utasema superfeo ana route chache maana utakuw unazijua route za Dar- Songea kupitia Lindi na Dar - Songea kupitia Iringa ila kwa taarifa yako wanaoishi Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Iringa basi wanajua uwingi wa mabasi ya Superfeo... Superfeo ana mabasi yanayoanzia Mtwara Mjini, Masasi, Namtumbo, Tunduru, Songea mjini, Mbinga, Mbeya.Baadhi ya route zake ni Mbinga - Dar, Mbinga - Mbeya, Mbinga - Tunduma, Mbinga- Iringa, Mbinga - Makambako, Mbinga- Njombe, Mtwara mjini - Songea, Mtwara - Mbeya, Masasi - Songea, Masasi - Mbeya, Tunduru - Mbeya, Tunduru- Iringa, Namtumbo- Ilula, Songea- Tunduma, Songea- Mbeya, Songea- Njombe, Songea- Makambako, Songea - Tunduma, Songea- dar kupitia Lindi, Songea - Dar kipitia Iringa, Songea - Dodoma.......na hizo route ana specific buses to cover...zaman alikuw na Songea - swanga ila akaifuta.So tunaposema kaiteka nyanda za juu kusini, kaiteka kweli.Ila kwa kuwa hauishi huko huwezi tambua....hapo kuna route zingine sijaziweka gari za tunduru