Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Hata Sauli nampongeza kustick na vyuma vya ukweli yeye hataki mchina hii imewafanya hata matajiri wengine waahtuke...kwa sasa Dar-Mbeya-Tunduma kateka soko huwezi pata tiketi kirahisi ukitaka kusafiri kabla ya siku 1
Kuna Watanzania wakiamua kutoa basi zao huko barabarani hazitoshi!!.. Super Feo alianza kama utani vile!!
 
Super Feo anatisha Nyanda ya juu kusini ipi hiyo tena? kule basi linalopendwa na kugombaniwa kwa sasa si SAULI pekeee

Sent from my SM-C7010 using JamiiForums mobile app
Boss huyo Sauli unayemsemea hana hata gari 10...na route zake ni Dar Mbeya na Dar Tunduma pekee. Kama unaishi dar basi utasema superfeo ana route chache maana utakuw unazijua route za Dar- Songea kupitia Lindi na Dar - Songea kupitia Iringa ila kwa taarifa yako wanaoishi Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Iringa basi wanajua uwingi wa mabasi ya Superfeo... Superfeo ana mabasi yanayoanzia Mtwara Mjini, Masasi, Namtumbo, Tunduru, Songea mjini, Mbinga, Mbeya.Baadhi ya route zake ni Mbinga - Dar, Mbinga - Mbeya, Mbinga - Tunduma, Mbinga- Iringa, Mbinga - Makambako, Mbinga- Njombe, Mtwara mjini - Songea, Mtwara - Mbeya, Masasi - Songea, Masasi - Mbeya, Tunduru - Mbeya, Tunduru- Iringa, Namtumbo- Ilula, Songea- Tunduma, Songea- Mbeya, Songea- Njombe, Songea- Makambako, Songea - Tunduma, Songea- dar kupitia Lindi, Songea - Dar kipitia Iringa, Songea - Dodoma.......na hizo route ana specific buses to cover...zaman alikuw na Songea - swanga ila akaifuta.So tunaposema kaiteka nyanda za juu kusini, kaiteka kweli.Ila kwa kuwa hauishi huko huwezi tambua....hapo kuna route zingine sijaziweka gari za tunduru
 
Ndo zenye faida si unaona now hata Newforce nguvu yake imepungua tofauti na mwanzo alivyoanza kuwekeza.
Kwa faida basi za mchina ndio zinafaida mkuu maana pesa inarudi haraka na faida unatengeneza ....scania kurudisha faida inachukua muda mrefu sana ingawa ndio zinadumu kwa muda mrefu ukilinganisha na mchina
 
N
Yani mtu kutoa Scania 5, Ndugu Dar Express Hana Bus ya kichina hata Moja!!..Dar Express ni mkongwe na huwa anatoa Scania 10/20 Mpya!!... Ukitaka Nenda Scania ukaone Majina yaliyopo kwenye Ubao wao pale!!
Nadhani bado unaishi miaka 2 iliyopita...huyo mzee wa Dar express ameshasurrender na kaingiza Zhongtong hata miezi miwili haijapita...ila hajui kutunza gari yule mzee au watu wake hawajui kutunza gari ....basi zake zinachoka haraka sana...amuangalie mwenzake KLM ni mtunzaji mzuri sana
 
Boss huyo Sauli unayemsemea hana hata gari 10...na route zake ni Dar Mbeya na Dar Tunduma pekee. Kama unaishi dar basi utasema superfeo ana route chache maana utakuw unazijua route za Dar- Songea kupitia Lindi na Dar - Songea kupitia Iringa ila kwa taarifa yako wanaoishi Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Iringa basi wanajua uwingi wa mabasi ya Superfeo... Superfeo ana mabasi yanayoanzia Mtwara Mjini, Masasi, Namtumbo, Tunduru, Songea mjini, Mbinga, Mbeya.Baadhi ya route zake ni Mbinga - Dar, Mbinga - Mbeya, Mbinga - Tunduma, Mbinga- Iringa, Mbinga - Makambako, Mbinga- Njombe, Mtwara mjini - Songea, Mtwara - Mbeya, Masasi - Songea, Masasi - Mbeya, Tunduru - Mbeya, Tunduru- Iringa, Namtumbo- Ilula, Songea- Tunduma, Songea- Mbeya, Songea- Njombe, Songea- Makambako, Songea - Tunduma, Songea- dar kupitia Lindi, Songea - Dar kipitia Iringa, Songea - Dodoma.......na hizo route ana specific buses to cover...zaman alikuw na Songea - swanga ila akaifuta.So tunaposema kaiteka nyanda za juu kusini, kaiteka kweli.Ila kwa kuwa hauishi huko huwezi tambua....hapo kuna route zingine sijaziweka gari za tunduru
Kuna mtu kanimegea hapa kwenye superfeo/selous kuna mikono ya wanasiasa kadhaa akiwemo msemaji msigwa
 
Kuna mtu kanimegea hapa kwenye superfeo/selous kuna mikono ya wanasiasa kadhaa akiwemo msemaji msigwa
haswaa na ndio biashara siku zote ndio inavyotaka jamaa anaendesha Ile kampuni Kwa msaada wa wanahisa,lazima watu watie mikono Yao Kwenye kampuni yoyote Ile Ili mgawane faida hivi hivi itakukata,
Watu wengi wa mabasi hua hawijui hii mbinu!
 
Halafu Kuna mkuda kasema Kule juu habari za tajiri muulize masikini
Kisa tunazungumzia magari ya matajiri hapa

Nakujibu Hivi

Habari za matajiri wa magari
Tuulize Makonda,wapiga debe,wapambe nuksi na wabetia magari na abiria wa kudumu hapa utapata information Kama zote!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom