Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Uimara wa gari ni matunzo yako tuu kwani abood ameanza rasmi kutumia yutong 2014 na zinapiga kazi hadi kesho na zipo vizuri na huikuti njiani imefeli
Abood amekiwa favoured na lovation ya biashara zake . Dar moro ni safari ya masaa matatu tu , basi moja inaeza kufanya trip moja tu ya nenda rudi ,
Youtong haina uimara wa kuunguruma masaa 12 plus kwa siku , kwa miaka 2 mfululizo , ndo sababu hata yeye abood hazipeleki mbali gari zake .
 
Rejea comments zako za awali alafu ulinganishe na hii!!
Ni ww umechanganya mambo, bro, mtu anaposema kwa nusu saa inanyannyuka bus 1 , itakuaje ziwe 4 kwa lisaa trip ya upande mmoja? Huon kama ww ndio umechanganya hapo?

Tulifafanua vizuri tu , hili jambo sio kwamba n lazima, kukiwa na upepo wa abiria zinatoka nyingi siku isipokua na abiria hadi lisaa na zaid bus hua bado inakua haijatoka stand ikisubiri kujaza abiria , sio kwamba n lazima iwe hivyo , mfano hiyo majuz nilyokua hapo, ilikua siku nzuri ya biashara, lkn sio kwamba kila siku iko hivyo , ndio maana wanapewa wastan wa bus 2 kwa Lisaa kwa trip ya upande mmoja
 
Hawa Tilisho , Esther wao wana survive vipi mkuu,

Mfano Esther , hii barabara ya Arusha dsm kwa siku hata bus 12 zinatembea (kwenda na kurud) ni Yutong tupu
 
Mabasi 20 aliyo ingiza abood , ni sawa na gharama ya mabasi 6 marcopolo scania aliyo ingiza superfeo.
Na ulitaka kujua habari ya basi za kichina , mtu sahihi kabisa wa kumuuliza ni superfeo , jamaa amehangaika na basi za kichina toka anaanza biashara, lakini sasa amefanya u turn
 

Hakuna namna basi ya milioni 200 plus inaeza kurudisha pesa kwa miaka miwili, never !
Makampuni mapya yanayonunua basi za mikopo za kichina yanazaliwa kila siku na yanakufa kila siku kimya kimya .
 
Hawa Tilisho , Esther wao wana survive vipi mkuu,

Mfano Esther , hii barabara ya Arusha dsm kwa siku hata bus 12 zinatembea (kwenda na kurud) ni Yutong tupu
Mkuu kuna baadhi ya biashara ukiangalia flow yake unaona zinakosa uhalisia , Sauli anajulikana ni mfanya biashara wa dhahabu, kwake yeye kununua basi zile ilikuwa sahihi kabisa na hata struggle ya kuongeza gari nyingine unaona kabisa kuna connection ya hustling. Esther hana hata miaka 10 kwenye game yet ana magari ya kumwaga , sidhani kama ana gari chini ya namba' D'. Kampuni mpya zinazokuwa kwa kasi ya ajabi mara nyingi zinakuwa na connections za wanasiasa .
 
Ooh ,hapo nimekupata mkuu
 
Wakati huo superfeo kaingiza scania GX sab.G7 angalau scania wamejitahidi finishing japo mchina bado yupo moto kwenye finishing na comfortability
Mkuu , hujapanda basi za uhakika , mchina hana finishing ya maana amini nakwambia
Miaka 11 iliyopita niliwahi panda marcopolo 2010 , ilikuwa ni full air suspension, na full services lavatory. Hapa nazingumzia choo cha haja zote , pamoja na siki la kunawia uso lenye maji moto na baridi.
140 degrees seat inclination.
Mchina kafanikiwa kujaza Tv tu
 
Hakuna namna basi ya milioni 200 plus inaeza kurudisha pesa kwa miaka miwili, never !
Makampuni mapya yanayonunua basi za mikopo za kichina yanazaliwa kila siku na yanakufa kila siku kimya kimya .
Biashara kama haiendi ni nani anayethubutu kuendelea kujitisha hasara? Hata ungekuwa wewe ni tajiri je ungekuwa na ujasiri wa namna gani kuendelea kununua mabasi mapya ilihali umeshajua ni pasua kichwa?
 
Za wapi hizo kama za zambia au zimbabwe south SAwa
 
Unamjua mumiliki wa Esther? Hakuna biashara pake.. ni utakatishaji wa ngawira
 
Ni mchina ipi iyo unapata mbili kwa ela iyo na dhamana juu


Nalaani sana umasikini
 
Mchina tokea lini ameweza kumshinda Scania?!!.. Kwenye urahisi na ubovu Sawa lakini when we speak of quality Mchina hamna kitu!!
Ila mchina aisee🙌🙌niliwahi kukutana na mabaharia wa kifilipino katika kupiga stori nikawauliza meli mliyopo imetengenezwa nchi gani......china ila wakawa wanalalamika meli nyingi za huko wanatumia substandard metal zinachoka haraka ila ukipata chombo ya mkorea au mjapan hadi unasahau kama unamiliki meli......
 
Waweza kuta ni ya "mkuu" mmoja tu. Kuna mihela mingi tu na mingine inakuja.....mtegemee makubwa kuliko hayo! Kwani hamjasikia kuna mihela ya "aiemuefu" inamwagwa?

Napita tu ndugu zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…