Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Mi sijabisha nimesema huyo mzee atakuwa na mpunga sana sasa hivi
 
Alooo

Fungua kampun ya usafirishaj basi
 
Hii ilikua historia Tu!!.. Biashara ya Usafirishaji ni Nzuri ukiwa na Nguvu (usimamizi)...Mimi binafsi nimefanya Town trip Bandari ya salama na biashara ya Daladala ni pasua kichwa!!..
Nilifikiri town trip ina faida zaidi japo sijawahi kuijua undani wake..

Hebu nipe A B C kuhusu trip town, labda kwa kuanzia mtu aanze na gari ngapi, uendeshaji wake ukoje na vitu kama hivyo..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Ana basi 12 iyo ruti
Kama zilizidi itakua december iyo
 
Mchina hana confotability, siti ndogo mno na ukiegemea hupati raha yoyote, basi lina siti nyingi mno kwahiyo zipo karibu karibu zinaumiza miguu, sasa usiombe uwe mnene hizo siti ni changamoto,
Unasema mchina hana siti comfortability

Ivi ulishawahi kupanda shabiby yenye 2*1 au tahmeed ya dar nairobi yenye 2*1....


Siti unazotaka wewe ni maamuzi yako kuwaambia wachina nataka siti za basi langu ziwe ivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…