Safari ya saa tatu (3:00) unakula chakula njiani! Ni muda sawa na Mbagala kwenda Mbezi stendi unataka ule njiani!
Ni kweli mkuu zamani ilikuwa hivo kabla ya 2012.Mimi sijui idadi yake lakini sitasahau tukio la almost 20 years ago!!!
Nimefika zangu Ubungo nimekuta basi la kampuni fulani hivi (nimesahau jina lake lakini sio Islam) likiwa na watu zaidi ya robo tatu kama sio zaidi.
Wakati huo huo, basi moja ya Aboud ndo lilikuwa linajitayarisha kupakia abiria, na kwahiyo halikuwa na abiria hata mmoja!!
Sasa kwavile sikuwa na uzoefu na mabasi yaendayo Morogoro, nikapanda lile nililoona limejaa zaidi ya 3/4 huku nikiamini ndo nitawahi kuondoka!!
Kitu ambacho sitasahau, ziliondoka Aboud kama sio 4 basi 5 wakati basi letu lililokuwa limejanza zaidi ya 3/4 kabla yao tukiwa pale pale!!
Na ninachotaka kusema kwamba, labda siku hizi kwavile magari ni mengi lakini kwa wakati, hiyo nusu saa ingekuwa zinaondoka Aboud angalau 3 kwa route moja!!!
Karibu namfikia......Kwa hio wewe mzee wa crypto utajiri wako unamzidi Abood kwa kiasi gani mkuu?
Kama ww uko dar huwezi jua ana gari ngapi, kaa songea road utajua huyu jamaa anatisha, anatumia sana youtong vipisi kwa ruti fupi fupi ambazo hakuna hata aliye ziwaza mf juzi nmekutana na namtumbo kwenda ilula
Huo ni utajiri ambao ni manual mimi nimezungumzia digital......Kwa hiyo unamshauri Abood aachane na hiyo biashara iliyopitwa na wakati
mimi na aboud tumepishana age.......Hizo Cypyto zako zinapita thamani ya hayo mabasi? No Offense.
Sasa kiazi kama huyu hata anaelewa dunia inavyokwenda!!?Alisikika Tajiri mmoja wa kisasa akimshauri bwana abudi
Ndo ujinga mnaojazana [emoji1]Utajiri wa hv umepitwa na wakati......
siku hizi watu wapo kwenye ma cypypto
kumchamba tajiri kunakupa unafuu gani mlalahoi mwenzangu??Kiboko yake kafariki. Magu alikuwa anamchamba Nassoro Abood anavyotaka. Ikiwemo lile la kutoa mabasi kupeleka watu misibani huku viwanda kaua.
Hivi yule tajiri mwenzenu wa Forex anaitwa Sirjeff Yuko wapi Siku hizi?Karibu namfikia......
in three years to come atakuwa ameachwa mbali.......
Mnyonge mwenzangu anafarijika hapo.kumchamba tajiri kunakupa unafuu gani mlalahoi mwenzangu??
wanyonge sisi tunatabu sanaMnyonge mwenzangu anafarijika hapo.
BM hata Moshi Arusha amevunja utawala wa wakongwe, BM wako vizuri sana sasa hivi.Ni kweli mkuu zamani ilikuwa hivo kabla ya 2012.
Alishindwa kusoma alama za nyakati akawa bado anatumia zile scania siti 2*3,BM akaingia hiyo route na Youtong za 2*2 wajanja wakaanza kuchepuka.
Lakini bado Abood akaendelea kusumbua,BM akaingiza Zhongtong climber 2*2 full AC na fitna ya kuondoa gari kila nusu saa iwe imejaa au haijajaa. Hapo sasa Abood akawa kapatikana ikabidi na yeye aingize Youtong lakini alikuwa kachelewa maana BM tayari ameshajijengea ile legacy ya kuwa na abiria wake permanent.
Kimsingi bado Abood anatoa gari nyingi kwa Siku hiyo route ya Dar -Moro lakini lakini amepokonywa ile monopoly yake na BM
Niliona tangazo pia, kuwa anaanza ruti za Dar Dodoma, sijajua kama tayari au bado.
nimekuambia sehemu zake zote nazijua hayo mabus 300 siyo kweli. Ishu ibaki hivyo huu si muda wa kukuza mambo tunapaswa kuwa wakweli na kuachana na stori za vijiweni.
Hapana najua nimeandika maandishi na umesoma. Kama mwenzangu umeona ni pumba mimi sina namna ya kukusaidia.Unajua kuwa umeandika Pumba sana?
He! cypypto tena! Hii yako mpya.Utajiri wa hv umepitwa na wakati......
siku hizi watu wapo kwenye ma cypypto