Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Ukikaa pale Njombe kila baada ya Nusu saa au lisaa lazima bus zake zipishane kakamata ruti zote kutoka Songea kwenda-Dar,Dom,Iringa,Tunduma,Mbeya,Njombe na sasa anakuja na Mwanza na Arusha Scania G7 Marcopolo dereva walioteuliwa wako likizo wakirudi chuma hakuna kulala.
Mkuu hizi njia mpya anazotaka kuanzisha atazimudu kweli huyu wakunyumba
 
Ni kweli mkuu zamani ilikuwa hivo kabla ya 2012.
Alishindwa kusoma alama za nyakati akawa bado anatumia zile scania siti 2*3,BM akaingia hiyo route na Youtong za 2*2 wajanja wakaanza kuchepuka.

Lakini bado Abood akaendelea kusumbua,BM akaingiza Zhongtong climber 2*2 full AC na fitna ya kuondoa gari kila nusu saa iwe imejaa au haijajaa. Hapo sasa Abood akawa kapatikana ikabidi na yeye aingize Youtong lakini alikuwa kachelewa maana BM tayari ameshajijengea ile legacy ya kuwa na abiria wake permanent.

Kimsingi bado Abood anatoa gari nyingi kwa Siku hiyo route ya Dar -Moro lakini lakini amepokonywa ile monopoly yake na BM
Nikitokavl Moro to Dar gari yangu ni BM
 
Mzee hiyo kampuni kubwa halafu kuna wabia wengi wanene hapo..fitna na kila kitu wanajua ataweza na ukiangalia now songea inakua uhitaji upo...Ruti zote alizozianzisha zimezaa matunda
Mkuu hizi njia mpya anazotaka kuanzisha atazimudu kweli huyu wakunyumba
 
Back
Top Bottom