Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Kama huwez vumilia saa 3 bila kula ,siku moja kabla ya safari jinunulie hizo bites kaa nazo ule njian
 
Kwenye Top 5 ya wasafirishaji wa Mizigo na Abiria huyu hata Top 10 hayupo!!!
Wewe acha ubishi aisee Super feo anakuja kua namba Moja Kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria nchini huyo jamaa anatisha watu wa nyanda za juu kusini nadhani watakua wananielewa Nini nazungumzia hapa,
Kumbuka
Super feo na Selous ni kampuni ya mtu mmoja Kwa speed anayokuja nayo atakua Hana mpinzani!
 
Na bila shaka lile basi ambalo lilippigwa gap na Aboud kadhaa kabla lenyewe halijaondoka, basi lile ndo litakuwa lenu manake hakuna dalili ya Islam kuwa Fares Maro.
Wewe wa Leo ningesema wa Jana ningekua nimekupa umri mrefu kama Usafirishaji unadhani Mpinzani wa Abood ni Islam wewe wa Leo!!
 
Kwa sababu ya kununua scania 10? Au argument yako imebase kwwnye fact zipi had kumweka hapo unaposema
 
Kwa sababu ya kununua scania 10? Au argument yako imebase kwwnye fact zipi had kumweka hapo unaposema
huyo super feo kashika ruti za nyanda za juu.
ni kama abood kumuona njia ya dar moro
na shabby kumuona dar dom.

na kama zakaria alivyoshika njia ya tarime huko.

ki, uhalisia kwenye top 5 ya makampuni super feo anaingia ana mgari mengi sanaa.
ila kwa kuwa upo dar huwezi yaona.
balaa lake. linaanzia
iringa, mbeya, njombe, ruvuma huko kote basi zake ni kama abood kwa huku dar.

Punguza ubishi kama huna research.
pengine nyanda za. juu hujawahi kufika.

nikikuambia musukuma. ni tajiri wa magari na amehodhi njia nyingi kwao. kahama huwezi elewa.
 
Wewe wa Leo ningesema wa Jana ningekua nimekupa umri mrefu kama Usafirishaji unadhani Mpinzani wa Abood ni Islam wewe wa Leo!!
Hivi huwa unaelewa ninachoandika ndugu mwananchi?!

Kama ungekuwa umenisoma vizuri na kwa vituo, ungefahamu nilichosema Abood kwa Morogoro mshindani wake alikuwa Islam, na huyo mwingine ambae nimemsahau!!!

Halafu kuna kila dalili wewe mwenyewe ndo mtoto mdogo... kwavile wakati unapata akili uliona kuna mabasi ya kampuni hizi na zile, ndo unadhani hata wakati upo chekechea, kampuni zote hizo zilikuwepo!!

Hebu nikuulize... hivi hata bus terminal kwa Morogoro ilikuwa wapi kwa huo muda ninaosema mimi?!
 
Akisoma post 118 ataelewa nilipokua nipo Songea niliona kawaida ila nilipokaa Njombe ndo nikasema huyu jamaa noma..

Songea si unajua zinakua yadi ila ukikaa njiani si unaona zinavyopita tena kila ruti kuna gari zaidi ya moja apige mahesabu mwenyewe sasa.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Musukuma huyu huyu mabus yake yanafungwaga na kamba za katani akidakwa anaanza kulia Lia eti Ni fitna za RTO?πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…