HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Watalia siku likibumbulukaNdo ujinga mnaojazana [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watalia siku likibumbulukaNdo ujinga mnaojazana [emoji1]
Haikufika nusu saa , na nilikua nasafirsha parcel iende moro , haikua inapita ofisin, ilitakiwa nimpe dereva mkonon , yeye ndio dereva wa bus ya 3 kuondoka, so bus ya kwanza inasepa , inaingia ya pili inasepa inaingia ya tatu ambayo nimesafirishia mzigo ikasepa niko hapo hapo , nusu saa haikufika, ikaingia ya nne inapakia ndio nasepa, na nyingine mbili ziko pemben zinasubirYani nusu saa Gari 3 wewe Ndugu yangu duh!!..
Nunua mchina, engine ikuanza sumbua au gia box piga chini mfumo wote, yaan engine, gia box na diff.. tia msweden, unaanza upyaaaMchina tokea lini ameweza kumshinda Scania?!!.. Kwenye urahisi na ubovu Sawa lakini when we speak of quality Mchina hamna kitu!!
DRH imerudi juzi ilkua inakula spana ishachanganya maji na oil NF hupumzisha gari kutoka na idadi ya fleet aliyonayo na ni utaratibu wake aliyojiwekeaMkuu bus huwa zinapigwa spana usiku kesho unaiona tena barabarani!
Hakuna gari isiyopata ugonjwa isipokuwa zinazidiana changamoto za hapa na pale..
Haiwezekani gari ikimbie km 830 dar- mbeya kila siku kwa miaka miwili mfululizo isilete shida yoyote!
Rafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..Haikufika nusu saa , na nilikua nasafirsha parcel iende moro , haikua inapita ofisin, ilitakiwa nimpe dereva mkonon , yeye ndio dereva wa bus ya 3 kuondoka, so bus ya kwanza inasepa , inaingia ya pili inasepa inaingia ya tatu ambayo nimesafirishia mzigo ikasepa niko hapo hapo , nusu saa haikufika, ikaingia ya nne inapakia ndio nasepa, na nyingine mbili ziko pemben zinasubir
Hapo hapo Al saidy anatoa bus, newforce inatoa bus na kampun nyingine zinazopiga hiyo route.. pamoja na hawa kina Kimbinyiko japo yeye anaenda dom ila naamn anapakia na watu wa moro pia, hii nimeona kwa macho yangu sio kuambiwa
Mm nimesema tatu nilizoona zimeondoka, na ya nne iliyokua inapakia, na tupu mbili, huwez kwenda hapo stand muda wowote ule wa kazi usikute bus za abood kadhaa, hata mara moja haitotokea hiyo, BM nao wapo, shabiby wapo etc, siku pay sana attention kwa hawa manake nilikua nimekaa pale anapopakizia AboodRafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..
ukikaza ndonga huwezi elewa kituRafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..
Lkn sidhan kama hii n shida , kinacho fanya trip ziwe nyingi n wingi wa magari+ upatikanaj wa abiria , sio mudaHahahaha Dar/Moro ni 3/4 Hours unatakiwa uelewe hii Kwanza!!
Ongeza na Majeed Bonge huyu anasimamia ile store ya kuuza bidhaa za jumla,Talali anasimamia bush hunters,Fauz ndio kaka mkubwa tena huyu ndio roho ya kampuni na alikamatwa pamoja na marehemu baba yake enzi za uhujumu uchumi..Abdulaziz(mbunge) huyu ndio msimamizi wa mabasi na usafirishaji binafsi huyu ndio aliniunganishia kazi kwao kipindi nipo mdogo kabisa mwaka 1996 kipindi nasoma alikuwa rafiki yangu tuliyecheza naye mpira na still ni rafiki yangu mpaka leoTalali Abood
Fauz Abood
Abdulaziz Abood
Nadhani nimekujibu vya kutosha
najuaHahahaha Dar/Moro ni 3/4 Hours unatakiwa uelewe hii Kwanza!!
kunya boga3/4 Hours alafu kila saa Gari 5 hii maana yake barabara yote zingekua Abood Tu!!
Haijafika chalinzeNdio ilipofikia!!!..
Sio vijiwe hii n taarifa sahihi mengine yako tu yamepaki anapambna na kibali cha kupata foute .Ingekua kila mtu anaachwa tu abood na boss mwingine mmoja wanaweza kumiliki usafiri wa mikoa yoteSource: vijiwe vya kahawa
Kweli hizi ndio story za vijiweni!!!..anazo nyingi lakini Kibali kina sumbua!!..[emoji23][emoji23][emoji23]Sio vijiwe hii n taarifa sahihi mengine yako tu yamepaki anapambna na kibali cha kupata foute .Ingekua kila mtu anaachwa tu abood na boss mwingine mmoja wanaweza kumiliki usafiri wa mikoa yote
Chukua n mkate unywe kama ni chaiKweli hizi ndio story za vijiweni!!!..anazo nyingi lakini Kibali kina sumbua!!..[emoji23][emoji23][emoji23]
So it's possible kupishana kila baada ya nusu saaStand ya msamvu nipo sana hapa. Zinaweza zikapishana hata baada ya dakika kumi na kunawakati zinaweza zikajaa hata mbili kwa mpigo lakini ipo siku zinapishana hata baada ya lisaa na nusu coz lazma ujue kunavisu vingine hapo stand navyo vinacompete na abood
.Sio vijiwe hii n taarifa sahihi mengine yako tu yamepaki anapambna na kibali cha kupata foute .Ingekua kila mtu anaachwa tu abood na boss mwingine mmoja wanaweza kumiliki usafiri wa mikoa yote
Unashangaaaa kutembea yanajaaa abiria piaNa yote yanatembea rodi mkuu?
Lisaa lina nusu saa mbili , that means kwenda na kurud kunakua na bus 43/4 Hours alafu kila saa Gari 5 hii maana yake barabara yote zingekua Abood Tu!!
Hisabati ngumu kwakoHisabati ni Ngumu?!!!..kila lisaa About anakua na Basi 8 (4 zinaenda 4 zinarudi)..Haya sawa