Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

Yani nusu saa Gari 3 wewe Ndugu yangu duh!!..
Haikufika nusu saa , na nilikua nasafirsha parcel iende moro , haikua inapita ofisin, ilitakiwa nimpe dereva mkonon , yeye ndio dereva wa bus ya 3 kuondoka, so bus ya kwanza inasepa , inaingia ya pili inasepa inaingia ya tatu ambayo nimesafirishia mzigo ikasepa niko hapo hapo , nusu saa haikufika, ikaingia ya nne inapakia ndio nasepa, na nyingine mbili ziko pemben zinasubir

Hapo hapo Al saidy anatoa bus, newforce inatoa bus na kampun nyingine zinazopiga hiyo route.. pamoja na hawa kina Kimbinyiko japo yeye anaenda dom ila naamn anapakia na watu wa moro pia, hii nimeona kwa macho yangu sio kuambiwa
 
Mkuu bus huwa zinapigwa spana usiku kesho unaiona tena barabarani!

Hakuna gari isiyopata ugonjwa isipokuwa zinazidiana changamoto za hapa na pale..

Haiwezekani gari ikimbie km 830 dar- mbeya kila siku kwa miaka miwili mfululizo isilete shida yoyote!
DRH imerudi juzi ilkua inakula spana ishachanganya maji na oil NF hupumzisha gari kutoka na idadi ya fleet aliyonayo na ni utaratibu wake aliyojiwekea
 
Haikufika nusu saa , na nilikua nasafirsha parcel iende moro , haikua inapita ofisin, ilitakiwa nimpe dereva mkonon , yeye ndio dereva wa bus ya 3 kuondoka, so bus ya kwanza inasepa , inaingia ya pili inasepa inaingia ya tatu ambayo nimesafirishia mzigo ikasepa niko hapo hapo , nusu saa haikufika, ikaingia ya nne inapakia ndio nasepa, na nyingine mbili ziko pemben zinasubir

Hapo hapo Al saidy anatoa bus, newforce inatoa bus na kampun nyingine zinazopiga hiyo route.. pamoja na hawa kina Kimbinyiko japo yeye anaenda dom ila naamn anapakia na watu wa moro pia, hii nimeona kwa macho yangu sio kuambiwa
Rafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..
 
Rafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..
Mm nimesema tatu nilizoona zimeondoka, na ya nne iliyokua inapakia, na tupu mbili, huwez kwenda hapo stand muda wowote ule wa kazi usikute bus za abood kadhaa, hata mara moja haitotokea hiyo, BM nao wapo, shabiby wapo etc, siku pay sana attention kwa hawa manake nilikua nimekaa pale anapopakizia Abood

Lkn pia, Kuna mdau wa msavu huko kaeleza vizuri sana, zinaweza pishana hata kwa dk 10, 10, wakati mwingine hata lisaa na nusu , inategemea tu na biashara siku husika

Last week nilikua msavu sema sikukaa zaid ya robo saa , nilikuta Al said kama nane ziko stand hapo, nilitaman kujua mzunguko wake.. hapo hapo yard yake pale unakuta zipo hata 20 humo ndan
 
Rafiki yangu kwahiyo Abood Dar/Moro Kwa saa Gari 6 kwahiyo zimeondoka Gari 6 Kwa lisaa Duh!!.....Hii maana yake Kwa muda wa lisaa Abood ana ingiza wastani wa Gari 10 barabarani!!!..
ukikaza ndonga huwezi elewa kitu

sio kila mda wasafiri ni wengi kuna mida ambayo wasafiri ni wengi mfano asubuhi hivyo uwezekano wa gari tatu kwa asubuhu ni possible.
 
Talali Abood
Fauz Abood
Abdulaziz Abood
Nadhani nimekujibu vya kutosha
Ongeza na Majeed Bonge huyu anasimamia ile store ya kuuza bidhaa za jumla,Talali anasimamia bush hunters,Fauz ndio kaka mkubwa tena huyu ndio roho ya kampuni na alikamatwa pamoja na marehemu baba yake enzi za uhujumu uchumi..Abdulaziz(mbunge) huyu ndio msimamizi wa mabasi na usafirishaji binafsi huyu ndio aliniunganishia kazi kwao kipindi nipo mdogo kabisa mwaka 1996 kipindi nasoma alikuwa rafiki yangu tuliyecheza naye mpira na still ni rafiki yangu mpaka leo
 
Sio vijiwe hii n taarifa sahihi mengine yako tu yamepaki anapambna na kibali cha kupata foute .Ingekua kila mtu anaachwa tu abood na boss mwingine mmoja wanaweza kumiliki usafiri wa mikoa yote
Kweli hizi ndio story za vijiweni!!!..anazo nyingi lakini Kibali kina sumbua!!..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stand ya msamvu nipo sana hapa. Zinaweza zikapishana hata baada ya dakika kumi na kunawakati zinaweza zikajaa hata mbili kwa mpigo lakini ipo siku zinapishana hata baada ya lisaa na nusu coz lazma ujue kunavisu vingine hapo stand navyo vinacompete na abood
So it's possible kupishana kila baada ya nusu saa
 
Sio vijiwe hii n taarifa sahihi mengine yako tu yamepaki anapambna na kibali cha kupata foute .Ingekua kila mtu anaachwa tu abood na boss mwingine mmoja wanaweza kumiliki usafiri wa mikoa yote
.
20211016_100713.jpg
 
3/4 Hours alafu kila saa Gari 5 hii maana yake barabara yote zingekua Abood Tu!!
Lisaa lina nusu saa mbili , that means kwenda na kurud kunakua na bus 4

Iwe asubuh iwe mchana iwe usiku, hakuna mtu anaeweza kuja hapa akasema aliwah kwenda stand akakosa bus ya abood kusafiria , muda wowote, au aliwah kata ticket akakaa kwenye bus lisaa na zaid bus haijaondoka, hayupo

Hiyo inakupa tafsir gani? Tumesha jadili huko nyuma, nenda hata saiv, utaikuta bus inapakia na huotokaa Zaid ya 40 min mtaondoka, aende mwingine after 40 min ataikuta bus na ataondoka hatokaa lisaa
 
Hisabati ni Ngumu?!!!..kila lisaa About anakua na Basi 8 (4 zinaenda 4 zinarudi)..Haya sawa
Hisabati ngumu kwako

Lisaa limoja nina nusu saa mbili (30+30=60) kama kila nusu saa ananyua bus moja basi n 1+1=2

Dar kwa lisaa zinatoka 2.. moro 2 ..so 2+2=4

Hiyo nane yako unaipatia wapi?

Na namna ya kuthibitsha hili nimeweka hapo juu
 
Back
Top Bottom