USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

Rate bureau de change leo imefika 2740. Sijui tulielekea mwisho wa mwezi itafika 3000
 
Kwahiyo kama uko abroad let say US au UK unaweza kupigiwa simu na ndugu akakuambia Nina shida ya milioni mbili bana, ukadhani mbona pesa nyingi sana lakini ukichungulia rates unaona aah kumbe naiweza kabisa, ni pesa ya dafu ahhh.
 
Hujajibu swali,tunaingiza dollar chache,.tuna mahitaji makubwa ya dollar,Ziada inatoka wapi??
dollar zinatokana na kufanya biashara, lazima watalii waje, dhahabu ziuzwe akune nje ya apo
 
dollar zinatokana na kufanya biashara, lazima watalii waje, dhahabu ziuzwe akune nje ya apo
Unakwepa swali??mfano kama nchi kwa mwaka tunaingiza usd 10 kwa mwaka, na importers wanahitaji 50usd kwa mwaka kuagiza,.hiyo 40 inapatikana vipi??nieleze taratibu me mweupe sana hapa..

Na deni serikali wanalipa vipi??dollars wananunua??
 
Akili huna . Kichwani matope na uchawa

Unafanya vipi biashara ya dollar bila kutoa shillings . Ukitoa shillings na dollar unalipa deni . You remain with no dollars . Una print more shillings .

Akili matope ndo maana ni Chawa
Umeelewa nilichoandika au wrong qoute???
 
Akili huna .

Level of your education !?? Unaweza ongea kumbe na la saba au failures wa diploma .

Weak shillings means more money for Sam dollars . Which you need to exchange to pay the national debt .

Causing more inflation ni Kama kichaa wewe Elimu ya mkoroshini
 
Akili huna . Kichwani matope na uchawa

Unafanya vipi biashara ya dollar bila kutoa shillings . Ukitoa shillings na dollar unalipa deni . You remain with no dollars . Una print more shillings .

Akili matope ndo maana ni Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…