Ushahidi: Delila hakumnyoa Samsoni bali alisingiziwa

KINGDOM OF PHILISTINE
Philistine Federal Investigation
(PFI)
HEAD OFFICE-Pulatin street Gaza
MOTTO:We are Giants,Power and
Conquers
ID NAME-Delilah
ID NUMBER:666
GENDER: Female
POSITION:Spy
MISSION:Caanan
We believe in god's hands
And Dagon power.

Halafu mwanaume wa kazi akaingia kichwa kichwa Kwa Hiyo killer manzi
Hahahahahaha!
 
Kosa ni la Samson kujimwambafy kwa mbususu ya adui..kalipa!

Wamekufa Naye... ..na hapo ni alikuwa mnadhiri wa Mungu..
 
Kila mfanyakazi Ana. Mshahara na BONUS! hapo delila. Alipewa Bonus ya kazi nzuri.
 
Adam angekaza asile tunda alilopewa na eva hilo picha la delila na samson lisingetokea
.... wangapi leo wanashindwa "kukaza" kwa vishawishi vidogo tu mwanaume anatelekeza familia?
 
Ahahaaaaa...! Polisi kushikishwa ukuta.
Wakili Kibatala;- Mheshimiwa hakimu naomba polisi atusaidie kushika ukuta tuone kama ni vibaya.
 
Hii Stori ukiangalia kwa umakini ni kuwapa Onyo wanaume WA Israel wasioe makabila mengine... Ni pure Ubaguzi.
... ni sahihi kabisa wala hujakosea! Kwa maana makabila mengine wangewageuza Israel wasimwabudu Mungu wa kweli, YAHWE na kuigeukia miungu ya mataifa; wangemkufuru Mungu wa Yakobo.
 
Baada ya miaka yote hiyo kupita ndiyo unakuja kumtetea leo...
 
ile kesi ya yesu,Kuna jamaa alifungua shauri kuwashtaki serikari ya kiyahudi kwa kumuhukumu yesu,kimakosa ,sijui iliishia wapi
 
ile kesi ya yesu,Kuna jamaa alifungua shauri kuwashtaki serikari ya kiyahudi kwa kumuhukumu yesu,kimakosa ,sijui iliishia wapi
i iliondolewa Kuna shahidi muhimu hakupatikana na pia hukuwa na repoti ya daktari kwa kuwa mwili wa marehemu haukufanyiwa uchunguzi
 
Kumbe manzi alikuwa kwenye mission kali sana.
 
Mwamba umeweka sawa bin sawia
 
Kosa ni la Samson kujimwambafy kwa mbususu ya adui..kalipa!

Wamekufa Naye... ..na hapo ni alikuwa mnadhiri wa Mungu..
Hapa alifeli sana maana Delila nae alimuingiza kwenye mtego na maneno juu mara unashindwa kuniambia siri unipendae nae sam kaingia mazima
 
ile kesi ya yesu,Kuna jamaa alifungua shauri kuwashtaki serikari ya kiyahudi kwa kumuhukumu yesu,kimakosa ,sijui iliishia wapi
Ili minywa sijui ilikosa ushahidi
 
Duh sasa ahadi ya Mungu kuwakomboa kutoka misri utumwani kwenda nchi ya ahadi yenye maziwa na asali Kanani ina maana gani kama waliishia kuwa watumwa chini ya wafilisti.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…