Ushahidi: Delila hakumnyoa Samsoni bali alisingiziwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa wewe[emoji23][emoji23]
 
Ngoja tufanye tafiti ila kuna watafiti huleta ushahidi kuwa hivyo vitu vilitokea.
Hadithi hii ni nzuri sanal ila kuna watu wanaamini eti ni kweli kuna mtu alikuwa na moguvu ya kuangusha ghorofa. Hii ni haditji tu
Kama za Shabani Robert ambyo imeandikwa kutukuza mfumo dume wa kiyahudi.
Tuulizane mwanamke anae kupikia chakula unawezaje kuepuja mtego wake ? Siku hizi kuna madawa ya kila aina ya asili na viwandani.
Ule chakula chake halafu uepuke mtego wake kama sio uongo ni nin?
Solution ni kutooa kama yesu ila ukiooa umejisalimisha(death tecket)
 
Uongo wa hii hadithi ni pale wamemnyoa nywele kisha wameziacha ziote apate nguvu tena.
FBI wanapopanga jambo lao huwa hawaachi nukta.Kwa mantiki hio waliomnyoa nywele walikuwa vilaza wasiojua tabia ya nywele kwamba ukizikata huwa zinachipua upya.
 
Sasa Hao Wazungu Kwenye Picha Mbona Ni Tofauti Na Samsoni Wa Kwenye Biblia

Samsoni Alikuwa Na Dredrock Kama inavyo jieleza Biblia Yenyewe Kwenye Huo Mstari; Waamuzi 16;19
 
Hiyo Namba 5 Ccm Wanaipenda Sana Kuitumia Kwa Masrahi Ya Chama Chao
 
Samsoni aliingia mtegoni zaidi ya mara 3 Delila akiwa anamuandalia mazingira ya kumuweza vyema.
Mwisho wa Siku Samsoni akaisema siri yake na Delila kufanya yake.

Jamaaa alikuwa Bwege sana,yaaani majaribio yote yale na Aliona dhamira mbovu ya Mwanamke yule zaidi ya mara 3 lakini akaamua kuropoka siri
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wanatofauti gani? Aliye msaliti YESU na aliyetoa vipande vya pesa wote wasliti.
 
Ila kama ni story za kutunga basi kuna watu wanajua kutunga maana walijua kuhuzunisha watu.
 
Uongo wa hii hadithi ni pale wamemnyoa nywele kisha wameziacha ziote apate nguvu tena.
FBI wanapopanga jambo lao huwa hawaachi nukta.Kwa mantiki hio waliomnyoa nywele walikuwa vilaza wasiojua tabia ya nywele kwamba ukizikata huwa zinachipua upya.
Yeye Samsoni alimwambia Delila kuwa siri ya nguvu zake ni kuwa tangu azaliwe hajawahi nyoa nywele hivyo hata walivyo mnyoa walijua hata zikiota hata kuwa na nguvu sababu atakuwa amepoteza asili yake ya kutonyoa tangu azaliwe.
 
Sasa Hao Wazungu Kwenye Picha Mbona Ni Tofauti Na Samsoni Wa Kwenye Biblia

Samsoni Alikuwa Na Dredrock Kama inavyo jieleza Biblia Yenyewe Kwenye Huo Mstari; Waamuzi 16;19
Hapo Samsoni alikuwa tayari kashanyolewa na pia picha hiyo ni picha ya kuchora hivyo ni ngumu kufanana na uhalisia.
 
Jamaaa alikuwa Bwege sana,yaaani majaribio yote yale na Aliona dhamira mbovu ya Mwanamke yule zaidi ya mara 3 lakini akaamua kuropoka siri
Hakika utasema tu na mbaya zaidi aliwekwa mapajani na Chuchu zikiachwa wazi (kwa msaada wa picha) hapo ni ngumu kuchomoa.
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wanatofauti gani? Aliye msaliti YESU na aliyetoa vipande vya pesa wote wasliti.
Delila alikuwa mkosaji ila hapo kwenye kumnyoa nywele Samsoni hapo walimsingizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…