Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
JF kuna wajinga wengi huyu hata hajui kinachoendelea Unajua mfumo wa Utawala wa Palestina ulivyo?Kwenye mji wa RAMALLAH PALESTINE kuna maandamano raia wanataka raisi wao aondoke madarakani.
Hawa wapestina nashindwa kujua kitu gani wanahitaji alafu wenyewe waandamanaji wanadai hawatarudi nyuma Hadi raisi aondoke madarakani na kuanzia kesho maandamano yataingia kwenye miji mingine ya Palestine
Jamani 50% of gaza electricity ndo inatoka Israel, sio 100%...kwaio Gaza hamna giza kama mnavodhani.Wewe punguani kweli Gaza kuna umeme huoni taa zinawaka kwenye hiyo video yako wadanganye mapunguani wenzako.
We kweli kichaa ikiwa mungu wenu analitetea hilo taifa basi nyie mnamuabudu shetani sio Mumgu tunaye mjua sisi.HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao. Ogopa taifa la Mungu. Israel isisingiziwe
View attachment 2784884View attachment 2784885View attachment 2784887
Usitetee ujinga wewe unatumia nguvu nyingi naona nafsi yako inakusuta hutaki kuamini kama Israel kafanya mauaji ya hovyo.Jamani 50% of gaza electricity ndo inatoka Israel, sio 100%...kwaio Gaza hamna giza kama mnavodhani.
Ndio kuna upungufu wa umeme ila sio kwamba hamna umeme kabisa.
Kikoba kina kijumbe sio rais.Hata kikoba kina rais wake
Kwanini umeseme ni dalili ya sauti ya ndege na siyo sauti ya kombora?We kweli kichaa ikiwa mungu wenu analitetea hilo taifa basi nyie mnamuabudu shetani sio Mumgu tunaye mjua sisi.
View: https://youtu.be/x5gZHC8pfEc?si=5XpichVaOTTKpSOk
Hi hapa dalili ya Sautii ya ndege
Na wewe tumia akili.Tumia akili
Mlipuko wa rocket za Hamas, Hauna Uwezo wa kulipua idadi ya watu 500!!.
Hilo ni kombora ya Israel !!.
Mbn unakaza fuvu mzee? Hiyo video ni ya tangu mwaka 2022 unaambiwa bado unataka watu waendelee kuamin uongo wako, ngj nikuwekee youtube link ya mwaka 2022 ya video hiyo
Huwez ongea kama mtu mzima bila matusi.Usitetee ujinga wewe unatumia nguvu nyingi naona nafsi yako inakusuta hutaki kuamini kama Israel kafanya mauaji ya hovyo.
Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa kufeli kuendelea na safari kuua wayahudi
View attachment 2784875
Wewe unachobisha nini? Media zote zimesema Bomu kutoka Israel kaangalie BBC wamemnukuu wenyewe Al-Ahli Baptist Hospital. Wewe upo Kimara unaleta story za umemeNa wewe tumia akili.
Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.
Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.
Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.
Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.
Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.
Hamas wamejilipua Wenyewe, Kombora lilipofeli kuendelea na safari limedondokea hospitaliniView attachment 2784922
Hucho ulichokimbia ni wazee wako kukwepa lawama! ila mwanzo aliposti hiki kuwa ni wao ndiyo wamepiga.View attachment 2784924View attachment 2784925
Usije ukahisi katika ulimwengu huu unaweza kuongopa kiasi hicho! bahati mbaya Elon kawaumbya kwa kuicha X iwe free ila hawaipendi ata kidogo kwasasa! Shambulizi limetekelezwa na Israel wenyewe ila kwakuwa matokea yamekuwa mabaya zaidi ndiyo wananza kukwepa.Hamas wamejilipua Wenyewe, Kombora lilipofeli kuendelea na safari limedondokea hospitalini
Mkuu ni Airstrike, Airstrike inatupwa na ndege, Hamas hawana Ndege, Jeshi lenyewe za Israel limekiri, Waziri mkuu wa Canada kalaani Tukio la Israel, Uturuki na Nchi kibao zinalaani,Na wewe tumia akili.
Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.
Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.
Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.
Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.
Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.
Hospital imepigwa na kombora unabisha nini sasa jiulize hao Hamas wangekuwa na makombora ya hivi Israel ingekuwepo?Mm nimesema kwamba sio lazima mlipuko wa kombora ndo uwe chanzo cha vifo vya hao watu wote, haswa maeneo ya hospitalini.
Sasa ww ndo ujiulize nani mjinga, ww ndo umekurupuka, nionyeshe sehemu niliyosema nani karusha bomu??
Yaishe mkuu unaweza toa hoja moja tu Kwa mtu anataka ukweli kukuelewa ila hata utoe hoja 1000 kama mtu Ana Majibu yake moyoni hawezi kukuelewaMm nimesema kwamba sio lazima mlipuko wa kombora ndo uwe chanzo cha vifo vya hao watu wote, haswa maeneo ya hospitalini.
Sasa ww ndo ujiulize nani mjinga, ww ndo umekurupuka, nionyeshe sehemu niliyosema nani karusha bomu??
Mbona unakuwa hivi?Hamas wamejilipua Wenyewe, Kombora lilipofeli kuendelea na safari limedondokea hospitalini
View attachment 2784932