Na wewe tumia akili.
Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.
Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.
Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.
Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.
Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.