Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Kwenye mji wa RAMALLAH PALESTINE kuna maandamano raia wanataka raisi wao aondoke madarakani.
Hawa wapestina nashindwa kujua kitu gani wanahitaji alafu wenyewe waandamanaji wanadai hawatarudi nyuma Hadi raisi aondoke madarakani na kuanzia kesho maandamano yataingia kwenye miji mingine ya Palestine
JF kuna wajinga wengi huyu hata hajui kinachoendelea Unajua mfumo wa Utawala wa Palestina ulivyo?
 
Wewe punguani kweli Gaza kuna umeme huoni taa zinawaka kwenye hiyo video yako wadanganye mapunguani wenzako.
Jamani 50% of gaza electricity ndo inatoka Israel, sio 100%...kwaio Gaza hamna giza kama mnavodhani.

Ndio kuna upungufu wa umeme ila sio kwamba hamna umeme kabisa.
 
Tumia akili

Mlipuko wa rocket za Hamas, Hauna Uwezo wa kulipua idadi ya watu 500!!.

Hilo ni kombora ya Israel !!.
Na wewe tumia akili.

Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.

Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.

Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.

Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.

Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.
 
Usitetee ujinga wewe unatumia nguvu nyingi naona nafsi yako inakusuta hutaki kuamini kama Israel kafanya mauaji ya hovyo.
Huwez ongea kama mtu mzima bila matusi.

Binafsi naona kama kutukana ni upungufu wa akili.
 
Wapalestina 500 wamekufa baada ya hitilafu ya Kombora lililorushwa kufeli kuendelea na safari kuua wayahudi

View attachment 2784875
20231017_232449.jpg

Hucho ulichokimbia ni wazee wako kukwepa lawama! ila mwanzo aliposti hiki kuwa ni wao ndiyo wamepiga.
20231017_231546.jpg
20231017_231559.jpg
 
Na wewe tumia akili.

Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.

Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.

Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.

Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.

Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.
Wewe unachobisha nini? Media zote zimesema Bomu kutoka Israel kaangalie BBC wamemnukuu wenyewe Al-Ahli Baptist Hospital. Wewe upo Kimara unaleta story za umeme
 
Hamas wamejilipua Wenyewe, Kombora lilipofeli kuendelea na safari limedondokea hospitalini
Usije ukahisi katika ulimwengu huu unaweza kuongopa kiasi hicho! bahati mbaya Elon kawaumbya kwa kuicha X iwe free ila hawaipendi ata kidogo kwasasa! Shambulizi limetekelezwa na Israel wenyewe ila kwakuwa matokea yamekuwa mabaya zaidi ndiyo wananza kukwepa.

Hii video mnayoshare ya mchongo
 
Na wewe tumia akili.

Mimi sipo upande wowote maana kati ya IDF na HAMAS mmoja wao ndo anajua nani karusha hilo bomu.

Sio kwamba mlipuko wa kombora TUU ndo linaua watu, hio sio sahihi.

Their are many factors ambazo zinasababisha watu kufa.

Sasa ukizungumzia hospitali, ndo raisi sana kufikia hio idadi kwa sababu;
Kwanza, most of wagonjwa wa hospital wapo hoi, so mshtuko kidogo unaweza kuwaua, haswa wanaotibiwa magojwa ya moyo.
Pili, hospitali zina wagonjwa na umeme unahitaji kuendeleza matibabu, sasa hilo kombora likipigwa unadhani kutakuwa na umeme? Kama hamna power supply unadhani wagonjwa wangapi wanakufa? maana equipment nyingi zinatumia umeme
Tatu, kombora lilipiga sehemu nzuri infrastructure ina collapse, hizo tofali na zege zikiwaangukia wagonjwa unadhani watapona.

Usikariri bomu tuu kuna factors nyingi sana zilizowaua, sio lazima liwe bomu lenye uwezo mkubwa.
Mkuu ni Airstrike, Airstrike inatupwa na ndege, Hamas hawana Ndege, Jeshi lenyewe za Israel limekiri, Waziri mkuu wa Canada kalaani Tukio la Israel, Uturuki na Nchi kibao zinalaani,

Hivi unatakiwa uwe mjinga kiasi gani kupiga evidence zote hizo?
 
Nyie Waisrael wa Kimara na Mbagala naona bwana yenu baada ya kuona alichofanya akikubaliki anasema waliolipua siyo Hamas wanahisi ni Islamic jihad, unyama wanaufanya wanahamua kusingizia dunia iimeishajua.
 
Mm nimesema kwamba sio lazima mlipuko wa kombora ndo uwe chanzo cha vifo vya hao watu wote, haswa maeneo ya hospitalini.

Sasa ww ndo ujiulize nani mjinga, ww ndo umekurupuka, nionyeshe sehemu niliyosema nani karusha bomu??
Hospital imepigwa na kombora unabisha nini sasa jiulize hao Hamas wangekuwa na makombora ya hivi Israel ingekuwepo?
 
Mm nimesema kwamba sio lazima mlipuko wa kombora ndo uwe chanzo cha vifo vya hao watu wote, haswa maeneo ya hospitalini.

Sasa ww ndo ujiulize nani mjinga, ww ndo umekurupuka, nionyeshe sehemu niliyosema nani karusha bomu??
Yaishe mkuu unaweza toa hoja moja tu Kwa mtu anataka ukweli kukuelewa ila hata utoe hoja 1000 kama mtu Ana Majibu yake moyoni hawezi kukuelewa
 
Back
Top Bottom