Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

Mbona kama unalalamika,Dunia inafahamu nani amelipua hospitali hii ni vita,piga nikupige kila upande utapata machungu ya vita.
 
Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Kwani drones hawana? Au mashambulizi ya anga lazima Sukhoi,MIG na fighter jets?
 
Wewe umetumwa na mabasha zako hebu kuwa na moyo wa imani angalau kwa watoto wachanga huo Udini wako weka pembeni kwanza kama wewe ni mkristo Waisraili hakujui na wanakuchukia vile vile kama hujui ndio ujue.
 
Hamas, wapalestina wa bongo na vibaraka wake wa Putin na wengine wasiojielewa wameishitumu Israel kwa kulipua Hospitali na kuua mamia.

Bila ya kutambua kuwa Israel sio wanyama kama walivyo wao na maitikadi yao ya kipumbavu.

Kumbe wamerusha kombola ili lipige Israel, kombola si la explode angani na kipisi kikaangukia hospitali na sasa kimeeua wa-palestina mamia. View attachment 2785069
Boom lilio tumiwa ni Mk84 la kimarekani hata gazeti la America limekiri vile afu we na hao mashoga mnajidai eti missile ime jam vipi missile ijam isiwauwe walio Rushall ikawauwe watu Hospital kweli mtu akiwa kichaa sio lazima arushe mawe

Kabla ya kupiga hio Hospital walio sema wataipiga, vipi leo wasema missile eti imejam, hao Israel toka lini walikuwa wa kweli hao vita hawawezi

Kila vita wakienda kazi zao kuwauwa civilian na kubomoa majumba na mashule na Hospital afu wanajidai wanapiga silaha, wakiambowa onyesheni dalili ya hozo silaha mlizo vunja hawana

America anawapa silaha za bure na America ndio anaye amrisha wanadhani kuwauwa watu wasio na hatia ndio wameshinda vita
 
Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!

Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784938
Umetumia utaalamu gani hapa kujua kuwa kuna kombora limejam na halafu likatua hospitali.Mimi naona vipande kama vilivyounganishwa na bado havishikani.
 
Endeleeni kujitoa ufahamu na kidanganyana kuwa Israeli hausiki.

BREAKING NEWS
[emoji1137][emoji631] The King of Jordan has CANCELLED his upcoming meeting with President Biden.
Hawa viongozi mafala sana sijui wanamuogopa nn...
 
Kwani kombola lazima lirushwe kwa ndege, makumi yamakombora yamerushwa kutoka kwa wapalestina leo unawezaje kusema hawana makombola?
Hata hivyo kama ni Israel walipiga ni sawa tu wale waliouwa wakiwa kwenye tamasha huko Israel.
Siku mkiacha unafiki ,mtakuwa watu wa haki.
Airstrike, Airstrike, Airstrike hivi ni kingereza kigumu ama mnajisahaulisha, Hilo Kombora Hamas hana, watu washa toa hadi analysis hilo Kombora linaitwa Jdam na ni la Marekani.

images (59).jpg

Technology ya kulirusha na kuliguide mpaka kufikia Target yake ni kubwa mno si Hamas ni Israel ndio karusha.

Pia Israel wamekiri kulirusha then walivyoona backlash wakafuta Tweets. Screenshot zipo na Hadi humu zimetumwa.
 
Kwani drones hawana? Au mashambulizi ya anga lazima Sukhoi,MIG na fighter jets?
Kwamba Drone Ilipue Hospitali nzima? Hebu nitajie drone Gani inaweza chakaza Mwananyamala ama Temeke Hospital ama Hospital yoyote kubwa. Drone zinafanya Assassination na mlipuko mingine midogo hazina uwezo kufyatua hio Mi kombora yenye matani ya Uzito.
 
Wewe habari ya hospitali nzima kuchakazwa umeitoa wapi mzee wake Mwajuma? Au upo Gaza strip
 
Kashapost mpaka Prime minister wa Canada ku Condemn hilo tukio, Nchi kibao wame post ku Condemn Israel, we unajua kuliko prime Minister wa Canada na video yako feki inayoonesha Gaza kuna Umeme?
Hapo palipolipuka mbona kuna umeme pia, au siyo Gaza hapo?
 
Hapo palipolipuka mbona kuna umeme pia, au siyo Gaza hapo?
Hio video ni fake Gaza hamna umeme. Video OG yenyewe ni hii ambayo vyombo vya habari credible vinaitumia ni hii

Unaona kabisa ni Giza Kombora linakuja
 
Wewe habari ya hospitali nzima kuchakazwa umeitoa wapi mzee wake Mwajuma? Au upo Gaza strip
Una utoto mwingi tafuta watoto wenzako udiscuss nao, ina maana huangalii chombo chochote cha habari? Dunia ya leo ni mpaka uwe Gaza ndio uone uharibifu?
 
Una utoto mwingi tafuta watoto wenzako udiscuss nao, ina maana huangalii chombo chochote cha habari? Dunia ya leo ni mpaka uwe Gaza ndio uone uharibifu?
Jibu swali bhana, hospitali ipi imebomolewa na wapi bomu lilidondokea? Jibuu
 
Haka kazee kasenge sana

BREAKING: 🇺🇸 Biden says based on 'what he has seen' the blast at Al-Ahli Baptist Hospital was 'caused by the other side'
 
Kazee kasenge sana haka

BREAKING: 🇺🇸 Biden says based on 'what he has seen' the blast at Al-Ahli Baptist Hospital was 'caused by the other side'

Gaza: Israel warns Al-Awdeh Hospital will be bombed​

October 14, 2023 at 10:40 am

Toka lini US na Israel wakawa wanasema ukweli hilo gazeti liliongea kabla ya siku 5 Israel watapiga hospital, walipo piga waka tweet walidhani sifa walipo ona dunia imelalamika walicho fanya wakaifuta na kujida Al Jihad al Islam ndio wamepiga, kama kawaida yao uwongo tu majumba wanajidai Hamasi wanawake silaha hawa vita hawaviwezi kazi za kuvunja majumba, shule na hospital
 
Isareli na shoga yake Marekani hawajawahi kutupana chanda na pete
 
Back
Top Bottom