Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mbona kama unalalamika,Dunia inafahamu nani amelipua hospitali hii ni vita,piga nikupige kila upande utapata machungu ya vita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani drones hawana? Au mashambulizi ya anga lazima Sukhoi,MIG na fighter jets?Unajiita Soldier hata hujui air strike ni nini? HAMAS wana Ndege ngapi? Ushawahi ona ndege ya Hamas ikipiga kombora popote pale?
Boom lilio tumiwa ni Mk84 la kimarekani hata gazeti la America limekiri vile afu we na hao mashoga mnajidai eti missile ime jam vipi missile ijam isiwauwe walio Rushall ikawauwe watu Hospital kweli mtu akiwa kichaa sio lazima arushe maweHamas, wapalestina wa bongo na vibaraka wake wa Putin na wengine wasiojielewa wameishitumu Israel kwa kulipua Hospitali na kuua mamia.
Bila ya kutambua kuwa Israel sio wanyama kama walivyo wao na maitikadi yao ya kipumbavu.
Kumbe wamerusha kombola ili lipige Israel, kombola si la explode angani na kipisi kikaangukia hospitali na sasa kimeeua wa-palestina mamia. View attachment 2785069
Umetumia utaalamu gani hapa kujua kuwa kuna kombora limejam na halafu likatua hospitali.Mimi naona vipande kama vilivyounganishwa na bado havishikani.Na cha ajabu ni kwamba Hao Hamas wanaosema ni Airstrike hawana ushahidi wa ndege kufanya airstrike, Wamejikanyaga !!
Kamera zinaonyesha muda wa tukio kombora la Hamas limejam na likatua ndani ya Gaza.
View attachment 2784938
Hawa viongozi mafala sana sijui wanamuogopa nn...Endeleeni kujitoa ufahamu na kidanganyana kuwa Israeli hausiki.
BREAKING NEWS
[emoji1137][emoji631] The King of Jordan has CANCELLED his upcoming meeting with President Biden.
Airstrike, Airstrike, Airstrike hivi ni kingereza kigumu ama mnajisahaulisha, Hilo Kombora Hamas hana, watu washa toa hadi analysis hilo Kombora linaitwa Jdam na ni la Marekani.Kwani kombola lazima lirushwe kwa ndege, makumi yamakombora yamerushwa kutoka kwa wapalestina leo unawezaje kusema hawana makombola?
Hata hivyo kama ni Israel walipiga ni sawa tu wale waliouwa wakiwa kwenye tamasha huko Israel.
Siku mkiacha unafiki ,mtakuwa watu wa haki.
Wewe ni Fala bado ina maana maandamano hayapo?JF kuna wajinga wengi huyu hata hajui kinachoendelea Unajua mfumo wa Utawala wa Palestina ulivyo?
Kwamba Drone Ilipue Hospitali nzima? Hebu nitajie drone Gani inaweza chakaza Mwananyamala ama Temeke Hospital ama Hospital yoyote kubwa. Drone zinafanya Assassination na mlipuko mingine midogo hazina uwezo kufyatua hio Mi kombora yenye matani ya Uzito.Kwani drones hawana? Au mashambulizi ya anga lazima Sukhoi,MIG na fighter jets?
Wewe habari ya hospitali nzima kuchakazwa umeitoa wapi mzee wake Mwajuma? Au upo Gaza stripKwamba Drone Ilipue Hospitali nzima? Hebu nitajie drone Gani inaweza chakaza Mwananyamala ama Temeke Hospital ama Hospital yoyote kubwa. Drone zinafanya Assassination na mlipuko mingine midogo hazina uwezo kufyatua hio Mi kombora yenye matani ya Uzito.
Kwanza Gaza hakuna umeme Mkuu! Video yako inaonyesha kuna umeme.HAMAS wamelipua Makombora yakawarudia wenyewe. Wamemalizana wao kwa wao. Ogopa taifa la Mungu. Israel isisingiziwe
View attachment 2784884View attachment 2784885View attachment 2784887
Hapo palipolipuka mbona kuna umeme pia, au siyo Gaza hapo?Kashapost mpaka Prime minister wa Canada ku Condemn hilo tukio, Nchi kibao wame post ku Condemn Israel, we unajua kuliko prime Minister wa Canada na video yako feki inayoonesha Gaza kuna Umeme?
Hio video ni fake Gaza hamna umeme. Video OG yenyewe ni hii ambayo vyombo vya habari credible vinaitumia ni hiiHapo palipolipuka mbona kuna umeme pia, au siyo Gaza hapo?
Una utoto mwingi tafuta watoto wenzako udiscuss nao, ina maana huangalii chombo chochote cha habari? Dunia ya leo ni mpaka uwe Gaza ndio uone uharibifu?Wewe habari ya hospitali nzima kuchakazwa umeitoa wapi mzee wake Mwajuma? Au upo Gaza strip
Jibu swali bhana, hospitali ipi imebomolewa na wapi bomu lilidondokea? JibuuUna utoto mwingi tafuta watoto wenzako udiscuss nao, ina maana huangalii chombo chochote cha habari? Dunia ya leo ni mpaka uwe Gaza ndio uone uharibifu?
Kazee kasenge sana haka
BREAKING: 🇺🇸 Biden says based on 'what he has seen' the blast at Al-Ahli Baptist Hospital was 'caused by the other side'
Isareli na shoga yake Marekani hawajawahi kutupana chanda na peteGaza: Israel warns Al-Awdeh Hospital will be bombed
October 14, 2023 at 10:40 am
Toka lini US na Israel wakawa wanasema ukweli hilo gazeti liliongea kabla ya siku 5 Israel watapiga hospital, walipo piga waka tweet walidhani sifa walipo ona dunia imelalamika walicho fanya wakaifuta na kujida Al Jihad al Islam ndio wamepiga, kama kawaida yao uwongo tu majumba wanajidai Hamasi wanawake silaha hawa vita hawaviwezi kazi za kuvunja majumba, shule na hospital