Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Swali lako zuri sana.. Akili kubwa ndiyo zitaelewa
Hakuna akili kubwaa... Kwamba Video ya gwajima Nguvu gani imetumikaa??[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Kwendenii hukoo... Uzinzi ni uzinzii tyu awakamate nyie msiojielewaa... Amber ruty...mariam biriani Nyuzi kibao zilianzishwaa
 
Maybe kuwasahaulisha watu mateso anayoyapata Mdude kwa Sasa ili ukifika wakati wamemuachia awe bubu kwa Yale yaliompata kama ROMA, MO nk
 

Weakest defense ever

Mwenyewe kashasema ni yake alirekodiwa akiwa bado "hajaokoka"!

These motherfuckers are lame!
 
Huyo kajamba nani video ingefikaje kwetu
 
Wewe ndio umeedit sasa!

Kwanini hizo nyingine ziwe na mwezi pekee alafu moja tu ndio iwe na mwezi na mwaka?
 
Kwanini tu ni scandal ya ngonoo ngonoo ngoooooo inamtafuna Gwajima? Yaani mara ya ngapi sijui hii, ni scandal ya ngonooo tu, kwanini
Ngono huwaendea wenye pesa nyingi, fame and power
Hata Mfalme Suleiman alipopewa utajiri akaishia kuwa star wa ngono. Bila shaka hata mimi, nikiwa na pesa hao wakina Sanchi siwaachi, nashukuru kwa kutokuwa na pesa kwa vile ninajijua.
 
Sasa tatizo lako nini
 
Kwahio ikiwa ni ya 2018. Inafuta kuwa si yeye??

Inaweza hata ikawa ya 2000 na bado itabakia kuwa yake.
 
UNATAKA KUTULISHA MATANGO PORI ILI UFICHE AIBU YA MMEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…