Adrianinho
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 426
- 522
Yanini hawa watu wanatuona wote ni misukule kama wako.Kwa hiyo kama unayo tangia 2018?
Wewe huna mizigo ya kutua mpaka uhangaike na mizigo ya Gwajima?Mwachie autue mwenyewe. Hii video ni yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanini hawa watu wanatuona wote ni misukule kama wako.Kwa hiyo kama unayo tangia 2018?
Wewe huna mizigo ya kutua mpaka uhangaike na mizigo ya Gwajima?Mwachie autue mwenyewe. Hii video ni yake
Tutaanza kuamini ni editing hata kwao maana naona hii video ndiyo ije kwenye mgongo wa editing ila nyingine huwa ni za kweli.Swali lako zuri sana.. Akili kubwa ndiyo zitaelewa
Hakuna akili kubwaa... Kwamba Video ya gwajima Nguvu gani imetumikaa??[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Kwendenii hukoo... Uzinzi ni uzinzii tyu awakamate nyie msiojielewaa... Amber ruty...mariam biriani Nyuzi kibao zilianzishwaaSwali lako zuri sana.. Akili kubwa ndiyo zitaelewa
Maybe kuwasahaulisha watu mateso anayoyapata Mdude kwa Sasa ili ukifika wakati wamemuachia awe bubu kwa Yale yaliompata kama ROMA, MO nkNataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?
Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497
Huyo kajamba nani video ingefikaje kwetuHiyo video ingekuwa ya akajamba-nani msala ungekuwa wa kwake lakin Kwa gwajima inaonekana imetengenezwa!!!!
Kuna watu bado mnasubiri kuwaona manabii wa uwongo waliotabiriwa Kwenye Bible huku mkiwakingia kifua akina gwajima.....huyo jamaa yenu ni miongoni mwa wachungaji waongo ni tapeli tu
Kasema wapi mkuu?Weakest defense ever
Mwenyewe kashasema ni yake alirekodiwa akiwa bado "hajaokoka"!
These motherfuckers are lame!
Kwaa ambao hawajaionahiii hapa nimeona kwa page ya mdaku mmoja hiviNaombeni video basi hiyo ma mimi nione
Ngono huwaendea wenye pesa nyingi, fame and powerKwanini tu ni scandal ya ngonoo ngonoo ngoooooo inamtafuna Gwajima? Yaani mara ya ngapi sijui hii, ni scandal ya ngonooo tu, kwanini
Kasema wapi mkuu?
Sasa tatizo lako niniNataka mjiulize swali moja, kama ni video ya Gwajima kweli, kwa nini wasinge ipost moja kwa moja ikiwa yenyewe ila wameanza na kupost video ya Gwajima akijirekodi kwanza ambayo inamuonyesha sura?
Sababu ni kuwa walitaka wawajenge watu kisaikolojia kwanza kuwa Gwajima ndiye aliyejirekodi, hivyo kutuma video ya yeye akijirekodi kwanza, kisha kutuma video ya ntu anayefanana na yeye akijirekodi akila mzigo
Swali jingine ni je kwa nini video ivujishwe sasa hivi wakati ni ya zamani sana?
Wewe ndio umeedit sasa!
Kwanini hizo nyingine ziwe na mwezi pekee alafu moja tu ndio iwe na mwezi na mwaka?
Mkuu pole na majukumu, hii ndio tz na mtoa mada ni mtz. Usiku mwema.Kwanini video za Amber Rutty na Mariam Biriani nguvu hii haikutumika?
Kasemea wapi? Hivi mbona wabongo ni wajinga kuamini kila kinachotungwa mtandaoni?Weakest defense ever
Mwenyewe kashasema ni yake alirekodiwa akiwa bado "hajaokoka"!
These motherfuckers are lame!
Kasemea wapi? Hivi mbona wabongo ni wajinga kuamini kila kinachotungwa mtandaoni?
UNATAKA KUTULISHA MATANGO PORI ILI UFICHE AIBU YA MMEOHii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima
Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
View attachment 1091497