Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Tusubiri press conference ya mtumishi wa Mungu hivi punde!
 
MKUU MBONA HAIFUNGUKI?
 
Kwanini video za Amber Rutty na Mariam Biriani nguvu hii haikutumika?
Inangaliwa na uzito wa muhusika kwenye jamii mkuu.

Gwajima ni mtumishi wa Mungu anapaswa kuishi kitakatifu kama mfano, ila Amba ruth alikuwa hana wadhifa wowote just a normal looking stressed girl
 
Inangaliwa na uzito wa muhusika kwenye jamii mkuu.

Gwajima ni mtumishi wa Mungu anapaswa kuishi kitakatifu kama mfano, ila Amba ruth alikuwa hana wadhifa wowote just a normal looking stressed girl
Kwanini video zake zitetewe kiasi hicho kwani huyo Amber Rutty hawezi kuedtiwa na yeye?
 
Ukitaka kujua uyo kwenye io video kuwa bishop gwajima or sio tuliza akili angalia na kisikiliza kwa umakini na vizuri mwisho lazima utapata jibu ambalo hata wewe utaridhika nalo don’t panic RELAX
 
Maswali ni mengi bado ya kujiuliza.
Ni kwa nini jeshi la polisi linamtaka Gwajima na sii kumtaka aliyerusha hiyo video mtandaoni?
Itatokea mtu arushe video ya uchafu ya mkuu wa jeshi la polisi, je polisi watamwita mkuu wa polisi ama yule aliyerusha?
Swali jingine ni kwa nini polisi wameungana na wanao shere hii clip kinyume na makosa ya kimtandao?
 
Kwani ile video ilionesha tarehe ? Acha bangecwewe
 
Angalia Basi hata tundu za pua khaaaa
 
Nimejiridhisha ni fake neti na mapazia mwanzo na kwenye tendo ni rangi tofauti
 
Kwa uzoefu wangu wa IT hiyo video ni ya gwajiboy 100% pasipo na shaka, haya mengine mnayoleta ni stori za abunuuasi.
 
 
1 TIM. 3:2,7 SUV

"Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu...Tena imempasa kushuhudiwa mema na watu walio nje; ili asianguke katika lawama na mtego wa Ibilisi."

Kwa sifa hizi, ameshakosa sifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…