Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

Kwani sisi tulisema hiyo picha ni ya jana au juzi? Au unataka kusema 2018 Gwajima alikua hawezi kufwanya?
 
Mkuu inaonekana una video mingi...nitumie ya mariam birian
 
Basi utasaidia polisi
 
Maji yamesha mwagika hayazoleki....ndo video tushaiona
 
Ishu sio ni gwajima au la au ni ya muda gani, ishu ni imevuja sasa!
Mbona ya Nandy ni ya kitambo ila ilivuma mwaka jana? Hata amber rutty anadai yake pia ni ya kitambo!
 
Wewe mleta mada mbona unareasoning mbovu kiasi hicho kwahiyo video ya 2018 ndio haiwez kuwa ya gwajima??
 
Dah...yaani hadi sasa Mimi mwenzenu sijaona kosa lolote la Askofu
 

UMENENA!
 
Ukiweza kutuambia uliipata wapi na kwa nanmna gani hoja yako itakuwa na nguvu! Vinginevyo hiyo ya kusema tu kuwa ulikuwa nayo kwenye simu yako na kuweka screen shot haisaidiii
 
Hivi ni kwanini hii issue imetoka baada ya Makonda kukutana ma Gwajima hii juzi?

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Askofu Gwajima wamekutana katika kanisa la Free Gospal ambapo kulikuwa na sherehe ya kutimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo.

Miezi kadhaa iliyopita wawili hao walikuwa na tofauti zao lakini leo wameonekana wakizungumza kwa pamoja katika kanisa la Askofu Kakobe

Kanisa la Askofu Kakobe limetimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo, hapa chini.



 
Ipo vile vile mkuu, cheki hapo inaonekana ni urefu ule uke wa dk 1:37, Mtu mweusi na nweupe, style ile ile, mikono ya mwanamke ipo vile vile..hakuna kilichobadilika

Kwani walokole style yao sio moja tu missionary..😅
 
Acha uongo kwani wamekuambia imefanyika jana? Tumia ubongo kidogo mkuu au ndiyo kundi mlihongwa na ilimmsafishe kwenye mitandao?
 

Na hizo video nyingine mbona hazina mwaka mzee baba ni hiyo ya Gwajima tu na wewe tunakuuliza kwani hapo kwenye video ya Gwajima ndo kuwe na mwaka 2018 kwann hzo nyingine hazionyeshi mwaka kajipange tena SORRY
 
Kuna watu wengine wenye tabia hiyo. Anajirikodi halafu anakuwa anazipitia baadae na kuangalia alivyokuwa anafanya. Kinachodhihisha kuwa yule ni Gwajima ni ile clip ndogo ya kwanza. Amejimulika vizuri kabisa usoni akawa anajaribu kuset mitambo. Hlafu inasikika sauti ya mguno ya yule mwanamke. Mandhari inaoyoonekana ni ile ile ya clip ndefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…