Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.

Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan

Screenshot_2024-04-30-15-28-48-1.png
Screenshot_2024-04-30-15-28-57-1.png

Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano anapotokea Tanganyika(Tanzania Bara), Mgombea Mwenza (Makamu wa Rais) ni lazima awe Raia wa Zanzibar, Kwahiyo kumbe Wazanzibar wapo na ni lazima wawe Wazanzibar ili kugombea Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO

Pia soma
 
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile .

Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan

View attachment 2977513View attachment 2977516

Kwani nani kabisha!
 
Mmmmmh
 
CHADEMA mnafeli sana, daima mnatafuta kura kwa migawanyo, mara mkae kidini, mara kikanda mara kama hivi kizanzibar na Bara, yan mnatapa tapa kwa kila mbinu kuhakikisha mnafika ikulu, ila kibaya mnajiharibia, kwa style hii ya ubaguzi watu wa mipakani wanawaogopa tayari, zenji hawatakaa wawakubali,
 
Hawa wazazibar wajanja sana wakienda kwa wenye chongo wanaziba jicho moja na wao waomekane wanachongo wakiambiwa wao hawana chongo wanalia wanabaguliwa
 
Watanganyika tunaongozwa na Rais kutokea Zanziba, anasimama kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania licha kwamba, Zanziba inarais wake na Tanganyika haionekani popote

Muungano wetu unamaswali magumu karibu yote

Usikute haya maswali, kunawatu yanawaumiza na wanatamani kuwameza wanaoyauliza

Hii ndio shida ya mtu mweusi inapoanzia,

Badala ya mambo kujadiriwa ili yawekwe sawa, mtu anaamua kununa tu na kuvaa roho ya shetani mtoa roho! Ya nini yote hayo, uende kuzimu kwa sababu ndogo tu kama kujibu maswali na kuacha mjadara wa kujenga uendelee??
 
CHADEMA mnafeli sana, daima mnatafuta kura kwa migawanyo, mara mkae kidini, mara kikanda mara kama hivi kizanzibar na Bara, yan mnatapa tapa kwa kila mbinu kuhakikisha mnafika ikulu, ila kibaya mnajiharibia, kwa style hii ya ubaguzi watu wa mipakani wanawaogopa tayari, zenji hawatakaa wawakubali,
Wewe una kitambulisho cha Mtanganyika Mkaazi ?
 
Sidhani kama hii ni hoja ya maana nchini wakati huu. UZanzibari wa Rais Samia ni jambo lililo wazi kila Mtanzania mwenye akili anajua. Na si suala kabisa katika nafasi aliyopo. Ana stahiki zote. Yeye ni Mtanzania kamili; hajapungukiwa kitu hapo.

Sijui mleta mada unataka kuthibitisha kitu gani hasa hapa. Kama ni kumjibu Nape tu basi una kazi ngumu sana. Kuna mamilioni ya wehu nchi hii. Labda kama huoni tabu kushinda unajibizana na wendawazimu.

Kwa sisi wengine, tuwe wazi, unatupunguzia sana thamani ya JF kwa mada za aina hii kama vile vile anavyofanya Mwashambwa.
 
UZanzibari wa Rais Samia ni jambo lililo wazi kila Mtanzania mwenye akili anajua. Na si suala kabisa katika nafasi aliyopo. Ana stahiki zote. Yeye ni Mtanzania kamili; hajapungukiwa kitu hapo
Anachosema ni kwamba mtu ni Mtanzania ila at the same time ana kitambulisho rasmi cha mkazi wa zanzibar means Zanzibar ni sovereign state ndani ya Muungano. Swali linakuja, kama zanzibar ni sovereign state why hakuna nchi ya Tanganyika ili kuwe na party mbili zinazoungana?

Yaani Rais wa zanzibar anatakiwa awe mzanzibari mkaazi ila Rais wa Tanzania anaweza tokea Zanzibar pia ila kwa Tanganyika hatuna Rais na hauwezi ukagombea zanzibar?? Hiyo picha ina raise so many questions about nature ya muungano wetu.
 
Anachosema ni kwamba mtu ni Mtanzania ila at the same t kitambulisho rasmi cha mkazi wa zanzibar means Zanzibar ni sovereign state ndani ya Muungano. Swali linakuja, kama zanzibar ni sovereign state why hakuna nchi ya Tanganyika ili kuwe na party mbili zinazoungana?

Yaani Rais wa zanzibar anatakiwa awe mzanzibari mkaazi ila Rais wa Tanzania anaweza tokea Zanzibar pia ila kwa Tanganyika hatuna Rais na hauwezi ukagombea zanzibar?? Hiyo picha ina raise so many questions about nature ya muungano wetu.
Sijui ni kina nani haswa wanapaswa kuwa ndio watu sahihi wa kushughulikia shida hii ya muungano

Muungano wetu ukisikiliza hoja zinzozalishwa kila leo kuuhusu, unashindwa kuelewa ikiwa tunamuungano au tuna janga tuliloamua kulikalia tu kimya na mbeleni tunaona kabisa kunamoto
 
Back
Top Bottom