Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
- Thread starter
-
- #21
Nimenukuu kutoka maandiko yakeKum. 18:22 - Ellen anaonyesha dalili za Nabii wa Uongo ambaye hajatumwa na Mungu maana yale aliyoyatolea unabii kama hizo points alizoandika mleta mada hayakuwahi kutokea . Amewatapeli nyie kondoo wake .
WapoHivi kwenye biblia kuna Nabii mwanamke kweli
Vita Kuu au pambano KuuHelen.G. white ..."THE GREAT CONTROVERSIAL"
Naoma nitajie wa3 tu na mafungu yakeWapo
Miriam, Deborah, Huldah, NoadiahNaoma nitajie wa3 tu na mafungu yake
Mambo yatakuwa tofauti.Sana... Nadhani kizazi Cha tatu kutoka hiki chetu kitakukuwa tofauti juu ya haya mauzauza ya wazungu na waarabu.
Unamtambua kama Nani hasa?
Sio Mama white tu,hata yesu unabii wake wa Mark 13:26,30 Haikua kweli,,Pia Ezekiel , unabii wake wa Ezekiel 29:12,Haikua kweli Pia,..wapi imeandikwa Unabii lazima utimie???
So yesu na Ezekiel waongo??Unabii lazima utimie kama umetabiriwa
Usipotimia unamfanya akiyetabiri kuwa miongoni mwa manabii wa uongo
So yesu na Ezekiel waongo??
Basi kwa muktadha huo,tumsidiss Ellen G white kwa kutotimia unabii wakeYesu mwenyewe angekujibu hivi;
Luka 18:19 BHN
Yesu akamwambia, “Mbona waniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.
Kwanza ELLEN g White hakuanzisha kanisa la Wasabato . alilikuta aka join
Before alikuwa muumini wa babtist na alibatiziwa huko, then akakutana na waumini wa kisabato waliokuwa wakihubiri kuhusu sabato akawaelewa akajoin nao
[/QUOTE
Pandikizi
Basi kwa muktadha huo,tumsidiss Ellen G white kwa kutotimia unabii wake