Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio. unatakaje mkuu?Mnashikiwaga Bible?
Kwani Wasabato nao niwakuaminii haoWadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.
Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.
Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.
1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -
Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye
2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -
3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.
Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi
4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132
Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa
5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.
Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari
Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22
Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22
Karibuni tujadili
Sasa wanatofauti gani....Ellen G White alimsingizia eti Yesu kajibanza uchochoroni Huko mbinguni huku akifanya hukumu ya upelelezi......Wale hapana aisee walinambia mwisho wa dunia watajimilikisha majengo yote makubwa na mali nikachoka
Wote ni waongoSasa wanatofauti gani....Ellen G White alimsingizia eti Yesu kajibanza uchochoroni Huko mbinguni huku akifanya hukumu ya upelelezi......
Maajabu haya
Atakuwa anamtambua Hellen kama Malaya la mchungaji wao yuleUnamtambua kama Nani hasa?
Yako mambo mengi mazuri wafundishayo na yanayofaaKwani Wasabato nao niwakuaminii hao
Teteee! Foengokitu kizuri pekee kwa wasabato ni kuvaa tai na foengo
Umewela nukuu sawa ilajambo moja hujasoma vizuri.Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.
Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.
Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.
1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -
Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye
2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -
3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.
Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi
4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132
Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa
5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.
Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari
Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22
Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22
Karibuni tujadili
Mkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.Umewela nukuu sawa ilajambo moja hujasoma vizuri.
Ew 75 ungesoma tokea juu maana kinachoobgelewa juu ya old Jerusalem ujenzi wa kiibadasi kujenga majengo tu
1T 259 haijaeleza kuwa Uingereza ingeishambulia Marekani bali wazo na kile Uingereza ilikuwa inawazia . Na ufuatilie Uibgereza zama zile akiwa mkoloni wa dunia
EW 35 hapa ndio umekosea pakubwa mno maana utumwa unasemwa hapo si literaly slave bali utumwa wa Dhambi au maisha yashidachini yawatawala waovu lugja za mfano au mafumbo
.
Baada ya kuona husomi kwa umakini au kupata concept sijaendelea na zile aya zingine.
Mfano
.
1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.
2 Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
Ufunuo wa Yohana 20:1,2
Je unadhani shetani anafungwa kwa nyororo? Au hii ni symboluc language?
Nawasilisha
Then wewe siyo msabatoMimi ni Msabato na si mtambui Ellen kama Nabii.
Hebu tuwekee quotation kamili tafadhali na utupe tafsiri yakeMkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.
Huwezi kuwa msabato SDA bila kumtambua EGW kama NabiiThen wewe siyo msabato
Hiyo chuki mbaya imetokea wapi? Nimeweka nukuu rasmi kutoka kwa EGW labda useme kuwa nimenukuu uongo pengine nitakuelewa.Mkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.
Niombe ufafanue vizuri hapo juu kwa faida ya wasomaji kwani ulichokiandika hakieleweki, Kwa mfano toa hiyo nukuu ya EGW kamili na kisha utoe fasiri yakeUmewela nukuu sawa ilajambo moja hujasoma vizuri.
Ew 75 ungesoma tokea juu maana kinachoobgelewa juu ya old Jerusalem ujenzi wa kiibadasi kujenga majengo tu
1T 259 haijaeleza kuwa Uingereza ingeishambulia Marekani bali wazo na kile Uingereza ilikuwa inawazia . Na ufuatilie Uibgereza zama zile akiwa mkoloni wa dunia
EW 35 hapa ndio umekosea pakubwa mno maana utumwa unasemwa hapo si literaly slave bali utumwa wa Dhambi au maisha yashidachini yawatawala waovu lugja za mfano au mafumbo
.
Baada ya kuona husomi kwa umakini au kupata concept sijaendelea na zile aya zingine.
Mfano
.
1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.
2 Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
Ufunuo wa Yohana 20:1,2
Je unadhani shetani anafungwa kwa nyororo? Au hii ni symboluc language?
Nawasilisha
Nabii EstaHivi kwenye biblia kuna Nabii mwanamke kweli
Aaah wapi mkuu, hao kina Ellen G ni Zumaradi wa Ulaya.Hivi kwenye biblia kuna Nabii mwanamke kweli
Elen G white hakuwa Nabil waulize wasabato watakuambia hivyoWadau hamjamboni nyote?