Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

Hellen G White ni Muasisi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani. Hakuna Kanisa la Wasabato ( SDA) bila Hellen G White. Yeye ndiyo Msingi/ nguzo kuu ya Kanisa hilo na bila kumuamini yeye pamoja na mafundisho yake huwezi kukubaliwa kuwa mshiriki wa Kanisa hilo.
Hakuanzisha kanisa, ni kama alikuwa mwanamatengezeo Ukisoma kwenye kitabu cheke kimoja yeye mwenyewe alisema kpndi ana miaka 8 alikuwa akienda shule anapita njia ambako lipo kanisa la wasabato
 
Yule mwanamke wa kimasai alijua kuudanganya ulimwengu. Na yeye ndiye aliyefanya niache kusali
 
Please 🙏 mleta mada kama hutojali weka kurasa nzima kuliko kunukuu mstari 1 au miwili ili kupata ufafanuzi zaidi juu ya kiłe Ellen G. alikuwa akikieleza
 
Hakuanzisha kanisa, ni kama alikuwa mwanamatengezeo Ukisoma kwenye kitabu cheke kimoja yeye mwenyewe alisema kpndi ana miaka 8 alikuwa akienda shule anapita njia ambako lipo kanisa la wasabato
Ni miongoni mwa waasisi wakuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato SDA na mafundisho yake ndiyo Msingi Mkuu wa mafundisho ya Kanisa
 
Ellen G white alisema mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa,
Vitabu vyake vyote alivyovitoa ni nuru ndogo ambayo inaweza saidia.
Ila yeye alisistiza sana kusoma biblia zaidi na si vitabu vyake.
Afu Ellen g white hakuwa nabii.

Alikanusha yeye mwenyewe
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.

Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.

Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.

1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -

Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye

2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -

3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.

Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi

4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132

Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa

5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.

Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari

Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22

Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22

Karibuni tujadili
Kila mtu na imani yake...kinachonishangaza kwamba wanaunabii wanaoamini siku moja warumi wataungana na wamarekani kulazimisha watu wasaili Jumapili halafu watakao kataa watateswa sasa mimi huwa najiuliza kwa hiyo waislamu nao watakua wakristo kwa lazima??? au hwa warumi watakamata pia wasionabudu mungu,mabudha, shinto, singa singa halafu waanza kuwatesa na kuwalazamisha kwenda jumapili kusali... Mmoja anisaidie

Kingine kila siku wanatuhumu warumi wamemhujumu Mungu kusali JUmapili ila sijawahi kusikia aliyeleta kusali siku ya tano(yaani ijumaa} wala hii historia hawana huwanajiuliza ni hawajui au wanawakwepa Ma sheikh.????
 
Ellen G white alisema mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa,
Vitabu vyake vyote alivyovitoa ni nuru ndogo ambayo inaweza saidia.
Ila yeye alisistiza sana kusoma biblia zaidi na si vitabu vyake.
Afu Ellen g white hakuwa nabii.

Alikanusha yeye mwenyewe
There is enough evidence out now via technology to show she was definitely not a prophet. And my question is, why do SDA members not see this? Their churches are almost empty. For the most part they have a beautiful message. White did not add anything new. They could teach without her writings. Those she plagerized were right on, some originally written by the reformers when they broke away from the Catholic Church. The basic foundation of the Gospel is in line with other denominations. I do believe that Sabbath is the day of worship.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.

Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.

Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.

1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -

Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye

2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -

3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.

Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi

4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132

Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa

5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.

Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari

Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22

Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22

Karibuni tujadili
Nado mwamposa
 
Sasa wanatofauti gani....Ellen G White alimsingizia eti Yesu kajibanza uchochoroni Huko mbinguni huku akifanya hukumu ya upelelezi......

Maajabu haya
I am first and foremost a follower of Jesus. I’m a member of the SDA church because based on what I know from the scriptures, I believe that “What Adventists Believe” reflects The Word more than any other denomination I have researched. It doesn’t mean that they are perfect. I am not perfect either, believe me. Personally, I think you should do whatever The Father convicts you to do and let The Holy Spirit do the rest.
 
Hakuanzisha kanisa, ni kama alikuwa mwanamatengezeo Ukisoma kwenye kitabu cheke kimoja yeye mwenyewe alisema kpndi ana miaka 8 alikuwa akienda shule anapita njia ambako lipo kanisa la wasabato
Yeye ndiye muanzilishi wa SDA 1863....kabla ya hapo kulikuwa ni Millerite movement
 
Ellen G white alisema mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa,
Vitabu vyake vyote alivyovitoa ni nuru ndogo ambayo inaweza saidia.
Ila yeye alisistiza sana kusoma biblia zaidi na si vitabu vyake.
Afu Ellen g white hakuwa nabii.

Alikanusha yeye mwenyewe
Elen G white yeye mwenyewe hakuwahi kujiita Nabii ila wafuasi wake ndiyo wamempa hadhi ya Unabii
 
Ellen G white alisema mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa,
Vitabu vyake vyote alivyovitoa ni nuru ndogo ambayo inaweza saidia.
Ila yeye alisistiza sana kusoma biblia zaidi na si vitabu vyake.
Afu Ellen g white hakuwa nabii.

Alikanusha yeye mwenyewe
Vitabu vya Elen G White vinaitwa Nuru ndogo lakini kiuhalisia ndiyo NURU KUU, ndiyo TAA, ndiyo MWONGOZO, ndiyo SHERIA kuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani kote na ndiyo maana ukienda kinyume chake unafutwa Ushirika wa Kanisa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.

Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.

Kama yupo mtu miongoni mwenu au aliye muumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato anayeona kuwa nukuu zilizowasilishwa haziko sahihi basi awe huru kutoa ufafanuzi.

1.
Alitoa unabii kuwa mji Mtakatifu wa Yerusalemu hautajengwa tena, Early Writings, p. 75 -

Unabii huo haukuwa kweli kwani mji wa Yerusalemu ulijengwa miaka mingi baadaye

2. Alitoa unabii kuwa nchi ya Uingereza itashambulia Marekani wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini unabii huo haukutimia kamwe - Testimonies, Vol. 1, uk. 259. -

3. Alitabiri kuwa Yesu Kristo angeejea duniani kabla ya biashara ya Utumwa haujakomeshwa - Early Writings, pp 35.

Unabii huo haukutimia kwani Biashara ya Utumwa ilikomeshwa duniani mwaka 1864 na Yesu Kristo hakurudi

4. Alitabiri kuwa Waadventista Wasabato ambao wangekuwa hai mwaka 1856 wangeshuhudia Yesu Kristo akirudi - Testimonies for the Church, vol. 1, ukurasa wa 131-132

Unabii huo haukutimia na hao Wasabato hao wote walishafariki dunia bila kushuhudia tukio hilo waliloahidiwa

5. Alidai kumuona Enoko aliishia kwenye sayari ya Jupiter na Saturn - Early Writings, pp. 39-40.

Hii siyo kweli hakuna binadamu anayeishi kwenye hizo sayari

Kwa mujibu wa kitabu cha Kumbukumbu la torati 20:18-22

Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, aatakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.
Kumbukumbu la Torati 18:20-22

Karibuni tujadili
Wengine kuzipata hizo nukuu inaweza kuwa ngumu...naomba uziandike kabisa hizo nukuu
 
Elen .G. White na vile vitabu vya mashaidi wa YEHOVA nilishashindwa kuwaelewa kabisa
Wale mashahidi wanachojua ni kuchora tu. Sema wajinga kweli walikuwa wanamchora mpka Mungu ktk vitabu vyao sijui kama wameacha
 
Back
Top Bottom