Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

Kum. 18:22 - Ellen anaonyesha dalili za Nabii wa Uongo ambaye hajatumwa na Mungu maana yale aliyoyatolea unabii kama hizo points alizoandika mleta mada hayakuwahi kutokea . Amewatapeli nyie kondoo wake .
Sina uhakika na hayo usemayo kama ni muongo kwanini basi anahimiza usomaji wa biblia katika kitabu chake cha DHIKI KUU? Kwa maana manabii wa uongo huwa hawahizi usomaji wa biblia
 
Sina uhakika na hayo usemayo kama ni muongo kwanini basi anahimiza usomaji wa biblia katika kitabu chake cha DHIKI KUU? Kwa maana manabii wa uongo huwa hawahizi usomaji wa biblia
Anahimiza kusoma Biblia Kwa mtazamo wa unabii au maandiko yake kupitia mwongozo wa usomaji Biblia yaani lesson
 
Hana tofauti na Paulo huyo.
 
SDA church imeanzishwa mwaka 1860 kama sikosei.

Pia unachanganya tabiri za William Miller na Elen G White
 
Kwanza ELLEN g White hakuanzisha kanisa la Wasabato . alilikuta aka join
Before alikuwa muumini wa babtist na alibatiziwa huko, then akakutana na waumini wa kisabato waliokuwa wakihubiri kuhusu sabato akawaelewa akajoin nao
Ni kwelu alikuwa Babtsit, ila ni yeye na Mme wake na jamaa mmoja ndio waliasisis SDA mwaka 1860 na mwakan 1863 kama sikosei ikaanza rasimi. Eleni alivutiwa na baadhi ya mafundisho ya William Millwe, huyu Millwe ndio alikuwa tapeli na kile tukio lake la Great Disapointment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…