Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

Vitani hauwi salama kwa kumwona mwenzako anayeanguka.
Dini njema haijengwi kwa kukosoa dini ingine.
Dini ya kweli imejengwa kwenye msingi wa mitume na manabii Na Yesu Mwenyewe Ndiye jiwe kuu la pembeni.
Mambo hayo yote yathibitike na imeandikwa.
 
Kwani Wasabato nao niwakuaminii hao
 
Umewela nukuu sawa ilajambo moja hujasoma vizuri.
Ew 75 ungesoma tokea juu maana kinachoobgelewa juu ya old Jerusalem ujenzi wa kiibadasi kujenga majengo tu
1T 259 haijaeleza kuwa Uingereza ingeishambulia Marekani bali wazo na kile Uingereza ilikuwa inawazia . Na ufuatilie Uibgereza zama zile akiwa mkoloni wa dunia

EW 35 hapa ndio umekosea pakubwa mno maana utumwa unasemwa hapo si literaly slave bali utumwa wa Dhambi au maisha yashidachini yawatawala waovu lugja za mfano au mafumbo
.
Baada ya kuona husomi kwa umakini au kupata concept sijaendelea na zile aya zingine.
Mfano

.
1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye ufunguo wa kuzimu, na mnyororo mkubwa mkononi mwake.
2 Akamshika yule joka, yule nyoka wa zamani, ambaye ni Ibilisi na Shetani, akamfunga miaka elfu;
Ufunuo wa Yohana 20:1,2
Je unadhani shetani anafungwa kwa nyororo? Au hii ni symboluc language?
Nawasilisha
 
Mkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.
 
Mkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.
Hebu tuwekee quotation kamili tafadhali na utupe tafsiri yake
 
Mkuu, huyu jamaa anachuki mbaya sana na Wasabato. Ni ngumu kumuelewesha mtu mwenye mtazamo kama wake. Ananchukua quotation nusu nusu halafu anazi anazipotosha.
Hiyo chuki mbaya imetokea wapi? Nimeweka nukuu rasmi kutoka kwa EGW labda useme kuwa nimenukuu uongo pengine nitakuelewa.
 
Niombe ufafanue vizuri hapo juu kwa faida ya wasomaji kwani ulichokiandika hakieleweki, Kwa mfano toa hiyo nukuu ya EGW kamili na kisha utoe fasiri yake
 
Elen G white hakuwa Nabil waulize wasabato watakuambia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…