Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Mhurumie mwenzako wakati huu akijiandaa kuwa single mom, na ukute wenzake pia wajawazito
Nimesoma Hadi mwisho nikagumdua yeye ndy mwenye tatizo na anaumia sn..hebu fikiria mtu anaandika huku anaonyesha ana Amani kabisa na anaomba ushauri ili akampe huyo rafiki (ambaye ni yeye mwenyewe)..u can imagine ni jinsi gani anaumia.Mimi ninamuhurumia sn,na naomba MUNGU amtie nguvu wakati anapitia kipindi hiki kigumu
 
Kuna mchungaji alisema achana na simu ya mme wako au mke wako .hili neno linamaana kubwa sana sio kila kitu unapaswa kujua kuna vitu ukijua vitakuumiza
 
..........kila mtu asimame kwny nafas yake, ukimchunguza bata hautamla.

Kama mmefkia kupeana na mimba, had harus mko njian kuifunga hayo mengne muachie mwenyewe. Usvpe umuhimu vtu vsvyo na umuhimu.


Ktka kulamba(ra) huko alikupata ww, muache jasr haachi asili
 
Washanitunza kwako Dj
 
We dada mambo ya kuwa na akaunti ingine ama kuchakata mbunye sio kazi yako,we kama unataka ndoa subiri ukiona huwezi tembea
Yangu nimemwachia Mungu nipo napambania ya wenzangu
 
Mbaya zaidi yupo hapahapa kwenye uzi wangu mtoto wa chuo,amina kwa maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…