Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Nasisi wanawake JF tunajirahidisha sana....acha watulambe tu si tunaachekea wenyewe!! Watulambe watupe mimba watudamp ndo tukome kufunuafunua mapaja hovyo!!
 
[emoji15][emoji15][emoji15] unatutia ujinga wewe!!
 
Soon nakuja na id yake + picha maana naona anajiachia kwenye uzi wangu wkt ni mchepuko tu
Mbona kimya??!! Jamani Kumbe na picha zake unazo? Mbona balaaa hili...humu jf kuna wanawake kibao tunajiuza kimya kimya pm tunatuma picha zetu Video clips za nyuchi zetu kwa wanaume pm... ilhali tunajua hao wanaume wana watu/ wapenzi wao ...tunaomba kumeet na wanaume wa wengine kibao tumejaa humu!!! Unameet nae kutafuta nini kama si kuwashwa??? Kwa staili hii What do you expect my dear?!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Aaah mchepuko wa baba jf, mke mwenzio yani .....pole sana
Na Ukute baba jf anamuhakikishia huyo mchepuko kuwa yeye ndio yeye wengine michepuko tu hahahaaa...nahivi hajamuoa mpira waweza geuka hawa ndio wanaume wa jf bana....
Mtoa mada anajuaje kama yeye ndio njia kuu wengine michepuko??? What if yeye ndio mchepuko??
 
Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
kikubwa asiwe na jinsi kama yako tofauti na hapo unalamba tu kwani sura au umbo lake unataka kulifanya mapambo?
 
Ati nini?
 
Vivohivo kwa wanaume....unakuta mtu ana mke..mpenzie still ana entertain ujinga na wanawake wengine.... Tabu tupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu kashaachwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu kashaachwa
Jamani hadi huruma na kuzalishwa keshazalishwa.... Wanawake tujifunze jamani tusishobokee wanaume kiivo..mwanzo wa mapenzi utajiona wewe ndio wewe malaika akasome ila 18 zikifika ndio haya...... Wanawake wenzangu tusikurupuke kubeba mimba jamani..
 
Jamani hadi huruma na kuzalishwa keshazalishwa.... Wanawake tujifunze jamani tusishobokee wanaume kiivo..mwanzo wa mapenzi utajiona wewe ndio wewe malaika akasome ila 18 zikifika ndio haya...... Wanawake wenzangu tusikurupuke kubeba mimba jamani..
Hili somo kubwa sana mwanzo wapenzi hunoga na mapenzi ka yote Sasa wanawake huwa tunajisahau hapo na kubeba mimba Matokeo yake ni kuachwa single mom ona huyo kijana Sasa anautafta wanawake wengine awazalishe. Kikubwa ukimpata mwanaume kula raha kumubebea mimba ni kiherehere wanaume huwa hawatulizwi na watoto wala kujali
 
Asante ntamfikishia ujumbe wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…