Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Image mtu anakwambia Jf nzima we pekee ndo pisiii kali na hakuna kama wewe baadae unagundua mpo wengi lazima roho ipasuke[emoji51][emoji51]
Hahaha ...inaachaje kupasuka mtu anatumiwa nyuchi kila leo watu wanameet eti urafiki tu ??!!! Unavumilia hadi maji yanataka kuzidi shingo mwisho unajiona taahira wa kwanza kuendelea na hayo mahusiano!!
 
Shoga angu na wewe unapenda muonekano mzuri wa mtu mbona wa kawaidaaa sanaaaa binafsi Kidume wa disaini ile kuwa muaminifu ni asilimia ndogo sana.
Nuzu naomba koneksho ya picha tafwazali😎
 
Back
Top Bottom