Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

Dahhh ila pwani sio mbaya sana, mie nlikua Iramba ndaniii huko yani interior Imagine Singida afu bush dahhh ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nikapewa shamba nilime alizeti, nkajisemea huu mtego hapa nikilima tu nimekwishaa hapa alizeti hapa mtendaji ananioa bye bye mjini
 
Evelyn nakupenda bure ๐Ÿซถ๐Ÿฟ๐Ÿ˜‚
 
Weeeee huko Utete ndio kule mauwaji ya Mkiu yalipokua
 
Hii ni hoja tajirishi, ipokelewe na ifanyiwe utekelezaji haraka sana.
 
Ni wewe mwenyewe sio mwana .Unaogopa kujitanabaisha kazi Yako?
 
Nasemea kwa mazingira walau pwani si kubaya japo tu watu wake ni wavivu hawapendi kazi.....

Ila huko singidani unakaa mahali pamepauka automatic nawe unapauka hata ukioga haung'ai ๐Ÿ˜น
Maisha popote usiogope. Kupauka ni wewe tu kama ukiwa haujui mambo ya cosmetics na misosi ya kula ukiwa katika mazingira fulani.

Weeeee baghosha,ogopaaaaaa
 
Lift za bodaboda ,by the way mwanamke akiwa kwenye umri wa tension yeyote yule anapita nae na ndio Huwa hivyo mwishowe.

Jifanyeni masista duu ila mkirogwa tuu mkapangiwa Vijijini mumekwisha mtakuwa wa huko huko.

Vijijini kuna Watendaji,Walimu,manesi ,MaCO,Polisi Kata,Extension officers,Maofisa maendeleo ya jamii kata na wale wengine wanaosimamia maji hapo ni kile Kijiji Kikubwa Makao Makuu ya kata.

Vijiji vingine utaishia kuona Walimu na manesi tuu na kulipwa na bodaboda au Dereva wa vihiace vya kuja mjini.

Maofisa wa Halmashauri ni WA kubahatisha maana Ukiwa na huyo unaweza hamia mjini
 
Kwenye bold, huyu wa kishua bwana ๐Ÿ˜

Mshahara wa JKICI ni mkubwa kuliko madaktari wa serikali kuu wa Wizara ya Afya (hospitali za mkoa zote) na watumishi walio LGA (hospitali za wilaya zote kushuka chini hadi vituo vya afya). JKCI pia wanazidi MNH kwa incetives and stuff monetary motivation by far.

Sasa huyo mwana yeye amegoma cause clearly ana options nyingine nyingi na huenda hata home mshua kampa 50 M akafungue polyclinic.

Jichanganye mwanangu kuacha kazi bila kuandaa mazingira, utakula vumbi uchakae uanze kusumbua washkaji kumbe u could have waited a little longer ukafanya maandalizi.​
 
Huyu amenyeka, hajakutana na mazingira magumu, hapa tunaongelea vijijini, ukitaka kuangalia mpira kibanda umiza au kunywa bia nauli kwa bodaboda 20,000 kwenda na kurudi
Kuna shule nilienda nikakuta Walimu na wanafunzi wanavuka mto Kwa mtumbwi kuifikia shule.

Unaomba kazi za Halmashauri ulitegemea ziko mjini? Harafu kazi zenyewe ni ualimu na Afya ,hizo ni kazi za Vijijini.

Siku hizi na mapolisi wameanza kuishi Vijijini ila wao kwenye Makao Makuu ya Kata.
 
Kwenye bold, huyu wa kishua bwana ๐Ÿ˜

Mshahara wa JKICI ni mkubwa kuliko madaktari wa serikali kuu wa Wizara ya Afya (hospitali za mkoa zote) na watumishi walio LGA (hospitali za wilaya zote kushuka chini hadi vituo vya afya). JKCI pia wanazidi MNH kwa incetives and stuff monetary motivation by far.

Sasa huyo mwana yeye amegoma cause clearly ana options nyingine nyingi na huenda hata home mshua kampa 50 M akafungue polyclinic.

Jichanganye mwanangu kuacha kazi bila kuandaa mazingira, utakula vumbi uchakae uanze kusumbua washkaji kumbe u could have waited a little longer ukafanya maandalizi.​
 
Ukiacha kazi au ulihonga ukahamishwa?

Ifike mahala Serikali iajiri watu wa mazingira husika tena wapo Wanaojitolea huko huko ambako watu wa Mjini wanasema mazingira magumu.

Ila watu mnadeka aisee,nakumbuka 2009 nilienda Kijijini kujitolea kufundisha ,unatembea km 5 Kwa mguu ndio unaikuta Barabara ambayo unaweza bahatisha bodaboda Hadi mjini,hakuna gari lakini tuliishi vizuri tuu,nyumba za Bati hakuna watu wanaishi na mifugo ndani
 
Sijawahi lelewa na Baba yangu kipumbavu na kimayai kama huyo mwanao na Wala mtoto wangu siwezi mlea kijinga hivyo.

Akileta huo ujinga aondoke kabisa nyumbani siwezi kuishi na Watoto mizigo.

Nani amekwambia Duniani Kuna mteremko? Yaani ushindwe Serikalini ndio mtaani ataweza ghasia za TRA,maafisa biashara,Watendaji na taasisi zingine? Au fitina za biashara?
 
Sikuacha kazi, nilikaa miezi nane nikaomba kuhama.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ