Ushauri: Anataka kuacha kazi Serikalini sababu ya maslahi madogo

Mbona kama amechelewa kuacha au umechelewa kuacha me niliacha mwaka juzi sahivi kipato changu kwa mwezi milion 2.5 naishi fresh safi kwahiyo mwambie aache mapema ili ajipange au uache mapema angali kijana
 
Anza kulima mkuuu yaaanza anza kufanya shughuli hapo lima kisomi ili uwe busy .....pia kila hakikisha kila weeekend unaenda eneo la mjini kupunga upepo

Lima lima kwa bidiii tafuta mtaji ndo uache kazi kijijini ukiwa mwalimu unaheshimika unaweza hata limiwa bure

Kama madem tafuta vilivyomaliza four pia age viwe 18 miaka ili vikuburudishe mwalimu kuwa navyo hata viwili hivi vya kitengo cha buradani kwa mwalimu

Nunua tv za solar ukirudi uwe kama uko mjini
Lima lima miaka minne ndo utoke ukiwa na mtaji au hela kuhonga ili upate uhamisho wa kuja mjini
 
CHANGAMOTO kwnye hili ni wenyeji wenyew hawapataki nyumban kwao au vijijin kwao. Mfano Nina bro Wang ni mwalimu anapat tabu San katik majukum yake sabb ameajiriw mwak 2020 mwalimu mkoani MARA. lkn ni mweneji WA Dar kuanzia secondary adi chuo na hakuwai kuwaz Kam ataishi mara anafatilia uhamisho San. Lkn bahati nzuri kuw watu tunafamiana tena tulipata zaidi ya wa5 wenyeji mara na maeneo ya karibu amabo wote ni walimu ili wafanye njia ya kubadilishan yey aje mikoa ya karb na kwao ili wao waend nyumbn kwao kabis. Lkn huwez amini wote hawapataki nyumban kwao kabisa.
 
Familia za kishua hizo , Malezi hayafanani na ya kwako wewe unaodunduliza.
 
Baba Junior umekuza
 
Msomi ana mind set ya kuajiriwa, ameajiriwa anaona ni tofauti na expectations zake. Sehemu yenye maduka mawili ameshindwa kugeuza challenge kuwa fursa, hatutoacha kulalamika hadi hapo tutakapobadilika mind set!!
Huyo atafute bwana tu
 
Huyu amenyeka, hajakutana na mazingira magumu, hapa tunaongelea vijijini, ukitaka kuangalia mpira kibanda umiza au kunywa bia nauli kwa bodaboda 20,000 kwenda na kurudi
Kuna ticha yuko Morogoro. Unaambiwa ili afike Moro town inamtoka 45.
Kuna sehemu lazima avushwe mgongoni kwa buku 2.
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣
 
Bora ulipwe mshahara mdogo unakuwa na nidhamu ya pesa kuliko mshahara mkubwa.

I have experienced both.
 
mwambie aache hiyo kazi kutoka serikalini huku mtaani biashara ya karanga za kuchemsha mbichi au uuzaji maji ktk mkokoteni zina maslahi makubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…