Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

love life live life

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2,584
Reaction score
3,051
Mjue mkeo.

Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo.

Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa hom siku hizo 14, angalia namna atakavyo kuwa anaku-treat ugundue ni aina gani ya mke uliyeoa."

men.jpeg
====================
Tafsiri

Wapendwa Wanaume,

Chukua likizo yako ya siku 21 kutoka kazini, Nenda nyumbani mwambie mkeo kwamba umepoteza kazi, eleza zaidi kwamba kulikuwa na hasara na inabidi utumie akiba yako kutatua, tumia siku 14 zijazo kuchunguza jinsi unavyotendewa na utagungundua mkeo ni mtu wa aina gani.
 
Jamani hawa viumbe acheni tuishinao tu maswala ya kuwapima yalishindikana toka kule eden!,wakala tunda.. kwanza hata Kama asingekula Adam na Eva Kuna couple fulani tu ya kimwamba ingekuja na ikala!. Tena mimi na huyu honie wangu mbona tungekula tu ile kimwamba!.
Hawa ndo wake zetu hakuna wa kuwaoa zaidi yetu upime usipime ndo pisi zilizopo sasa!.
 
Tuishi nao kwa akili km maelekezo yalivyoelekezaa ,c ndio mkuuu???
 
Kwani si tulikubaliana kuishi nao kwa akili, na ndivyo Mungu alivyotuagiza, basi tuendelee hivyo hivyo kuishi nao kwa akili
 
Ndoa zote zitavunjika. Wanawake wa afrika 99% ndoa kwao wanachukulia ni ajira rasmi na ndio maana wanafuatilia sana kuhusu kipato kama msingi wa kuolewa. Wakipata kazi na kipato huwa hawaoni umuhimu wa ndoa.

Ndo maana Vijana wengi wameamua kuwa watazamaji tu hawataki kuingia katika kiapo cha ndoa maana wanajua mabinti hawapo serious na commitment ya mahusiano ya ndoa.
 
Mjue mkeo.
Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja..
Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi,
kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo.
Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya.
Jaribu kukaa hom siku hizo 14, angalia namna atakavyo kuwa anaku-treat ugundue
ni aina gani ya mke uliyeoa.

View attachment 2126063
ili iweje
watu hubadilika pia
 
Ndoa zote zitavunjika. Wanawake wa afrika 99% ndoa ni ajira rasmi. Wakipata kazi na kipato huwa hawaoni umuhimu wa ndoa.

Ndo maana Vijana wengi wameamua kuwa watazamaji tu hawataki kuingia katika kiapo cha ndoa maana wanajua mabinti hawapo serious na commitment ya mahusiano ya ndoa.
Kuna ukweli hapaaa
 
Back
Top Bottom