Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Ndoa zote zitavunjika. Wanawake wa afrika 99% ndoa kwao wanachukulia ni ajira rasmi na ndio maana wanafuatilia sana kuhusu kipato kama msingi wa kuolewa. Wakipata kazi na kipato huwa hawaoni umuhimu wa ndoa.

Ndo maana Vijana wengi wameamua kuwa watazamaji tu hawataki kuingia katika kiapo cha ndoa maana wanajua mabinti hawapo serious na commitment ya mahusiano ya ndoa.
Well said
 
Kila mwanaume akitumia hiyo trick then all the marriages zitavunjika[emoji23]
Sio kweli mkuu mimi nilisimamishwa kazi kwa inshu za hela wife alikuwa pamoja namm mwanzo mwisho hadi narudishwa kazini na alinisaidia kulipa
 
Mke mwema anapimwa kwa heshima na utii kwa mumewe swala la upendo hawakuumbwa nalo hawa wenzetu. Ukitaka kuamini hilo angalia mama zetu kuwasema baba zetu ni kawaida sana,

Tambua hakuna mwanamke anayeweza kumuhudumia mwanaume kwa hali na mali maisha yake yote bila masimango, sababu ni moja tu wao wanahesabu kila wema wakitegemea kupata kitu in return, hii iko tofauti kwa mwanaume.

Wanaume tukiwapenda wake zetu na kuishi nao kwa akili hakika watatuheshimu na kututii. Hapo watazidisha mapenzi ambayo ukitafsiri utahisi ni upendo.
Bonge la point
 
Mwanamke akikuzidi kipato na Elimu unakuwa sawa na mfungwa wa Segerea weka mbali na watoto hawa viumbe, Kuna mmoja kamfukuza mume wake et ni mlevi wakati na yeye anakunywa😂😂😂😂😂😂😂😂
Ukinywa bila kuwa na fedha lazima uitwe mlevi
 
Back
Top Bottom