Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Binafsi niliwahi kukosa ajira na nikakaa home mwaka mzima, na kila kitu kilikua sawa na nilikua nina sauti kama mume na bado mke akipata mshahara ananipa taarifa kisha mimi ndie napanga kilakitu kama kawaida na bar nilikua naenda kama kawaida tu.
Binafsi sidhani kama mwanamke mwenye upendo wa dhati anaweza akaweka fedha mbele kama kipaumbele.
Labda sijui wenzangu nyie hua mnakutana wapi na wanawake wa ainahiyo...🙆‍🤷‍♂️
 
Unabahati mkuu.
 
Mke mwema anatoka kwa bwana MUNGU na baada yakupewa huyo mke mwema vile vile ukaambiwa uishi naye kwa AKILI japo n mke mwema aliyetoka kwa bwana MUNGU,hvyo yatupasaa tufatee tulichoelekezwaa ktk bibliaa ,japo n ngumuu coz ya mioyo yetu ilivyo wanadamu
 
Mtachunguzana humo humo kwa ndoa - mambo mengine huwa hayajaribiwagi.
 
Shida hatukuambiwa akili zipi hizo.
 
Vipi kwa sisi ambao hatuna kazi rasmi (hatuja ajiriwa) na tunaishi kwa harakati za kuunga unga. Hii mbinu haituhusu?
 
Hicho sicho kipimo sahihi, we timiza wajibu wako wa kuhudumia familia, usisubirie upendo. Mwanaume ni kama catapila tengeneza barabara lakini utoitumia
 
Mshukuru Mungu ulimpata aliyekupenda kiukweli,na najua hata yeye pia Sasa anakurahia Sana kwani mambo ni mswanoo.Kupata wa Kweli ni Bahati Karne hii ya sasa
 
Muhimu kuishi kulingana na wakati bila kutegemea kukamilishwa na mwingine, yeye akupende asikupende isiathiri majukumu yako
 
Hicho sicho kipimo sahihi, we timiza wajibu wako wa kuhudumia familia, usisubirie upendo. Mwanaume ni kama catapila tengeneza barabara lakini utoitumia
Kipimo sahihi ni pale unapougua mke anakukimbia.
 
Ndugu mjumbe huyo mkeo ni rare species au tuseme ni endangered species.

Inabidi awekewe ulinzi na serikali kama ule wa faru Fausta.
 
Kama ambavyo wanaume wengi ni womanizers c ndio?
 
wanawake tumeumbiwa sisi WANAUME.... so ni kuamua.....get in and lost...or lost bfr you get in.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…