Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Ndugu mjumbe huyo mkeo ni rare species au tuseme ni endangered species.

Inabidi awekewe ulinzi na serikali kama ule wa faru Fausta.
Mh mjumbe, haya mambo yanawezekana sana ujue. Na wapo wanawake wazuri na wenye upendo wa dhati kabisa tena wanye utii kwa waumezao
 
Mke mwema anapimwa kwa heshima na utii kwa mumewe swala la upendo hawakuumbwa nalo hawa wenzetu. Ukitaka kuamini hilo angalia mama zetu kuwasema baba zetu ni kawaida sana,

Tambua hakuna mwanamke anayeweza kumuhudumia mwanaume kwa hali na mali maisha yake yote bila masimango, sababu ni moja tu wao wanahesabu kila wema wakitegemea kupata kitu in return, hii iko tofauti kwa mwanaume.

Wanaume tukiwapenda wake zetu na kuishi nao kwa akili hakika watatuheshimu na kututii. Hapo watazidisha mapenzi ambayo ukitafsiri utahisi ni upendo.
 
Mh mjumbe, haya mambo yanawezekana sana ujue. Na wapo wanawake wazuri na wenye upendo wa dhati kabisa tena wanye utii kwa waumezao
Ni kweli ndugu mjumbe lakini sasa upatikanaji wao ndio adimu mjumbe. Unajua ndugu mjumbe kupata specimen moja katika sample ya 1000 ni kazi sana. Utapembua mpaka utachoka bado hujaipata ile moja yenye kufaa.
 
Hamna na mwanamke mwenye ndoto za kuolewa na maskini

Money can't buy happiness but poverty can't buy anything
 
Yaani uoe halafu ndio umpime, si utakufua kwa kihoro.. Ununue simu Kariakoo uwende kuifungulia chumbani kwako.. Mche wa soap [emoji23][emoji1787]
 
Jamaa yangu aliwai fanya hivyo siku 3 mbele mke akasema anaenda kusalimia kwao.
Mi sijaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutakuwa hakuna jipya maana hata maandiko yanasema tutakula kwa jasho nao watazaa Kwa uchungu. Sasa ukafanye kwenye utafiti ambao matokeo yanajulikana?
 

Kwani huyo bibi ulimpata ulivyopata kazi?
 
Ana mdogo wake ambaye yuko single nifanye utaratibu?

Sometimes kuna tabia za kiasili za ukoo ambazo watoto wanazirithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…