Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

Well said
 
Kila mwanaume akitumia hiyo trick then all the marriages zitavunjika[emoji23]
Sio kweli mkuu mimi nilisimamishwa kazi kwa inshu za hela wife alikuwa pamoja namm mwanzo mwisho hadi narudishwa kazini na alinisaidia kulipa
 
Bonge la point
 
Mwanamke akikuzidi kipato na Elimu unakuwa sawa na mfungwa wa Segerea weka mbali na watoto hawa viumbe, Kuna mmoja kamfukuza mume wake et ni mlevi wakati na yeye anakunywaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukinywa bila kuwa na fedha lazima uitwe mlevi
 
Dont try this at home

Mwanamke hajaribiwi mkuu

ISHI NAO KWA AKILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…