Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

Kosa la huyo jamaa ni kurudi saa12, ratiba ya kurudi home kwa mwanaume haipo fixed. Ila kusaidiana kazi ni kitu kizuri, kinaleta bond na kuhamasisha mapenzi. Muhimu ni kupangiana, tusupangiwe coz hata wao vipato vyao hatuwapangii.
 
Alooh...kuna watu wanafaidi kwenye ndoa
 
Wacha niscreenshot hii
 
Inategemea ntu na ntu kuna wengine kimoja chali na kukoroma juu, watafute house maid
 
Wewe umeolewa
 
Halafu sasa wanaongea kana kwamba ni kazi za kufanya siku mbili au tatu kwa week wakati ni lifetime responsibility wajiulize wakati wanakaa geto au kwao ni mara ngapi wamepiga deki, kufua, kupika au kuosha vyombo. Kujua kitu kuwa ni rahisi au kigumu ni wewe binafsi ukifanye ila sio kutamka kuwa ni rahisi wakati hukifanyi na hutaki kukifanya. There's no award for suffer wanaija wanasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…